Hatimaye mrembo wa kimataifa, Demirose awasili Tanzania

Hatimaye mrembo wa kimataifa, Demirose awasili Tanzania

Attachments

  • 2644601_IMG_7694.jpg
    2644601_IMG_7694.jpg
    79.4 KB · Views: 3
  • 2644602_IMG_7691.jpg
    2644602_IMG_7691.jpg
    74.9 KB · Views: 3
mnatushusha sana wakina Dada wa kiafrica jamani

mie mwenyewe Huyo kanizidi labda unene tu
wanawake wa kiafrica ni wazuri zaidi kiasili kuliko hao macaucasian... tunawapenda hivyo mlivyo ๐Ÿ˜.
hao weupe tunawashangaa tu lkn hamna kitu.
 
Hatuna sheria za uvaaji huko porini?
Siku mtu akipiga uchi kabisa itakuwaje au sisi shida yetu pesa na promo tu?
JamiiForums1752388249.jpg
 
Wakuu weekend hii imekuwa bomba sana hasa Tanzania kutembelewa na moja wa warembo wakali sana duniani namzungumzia Demirose, mrembo na model kutoka United Kingdom.

Tangu muda huyu mrembo alisema anapenda sana kufika Tanzania kutembea finally amefika

Mrembo huyu amefika Arusha Serengeti National Park anakula maisha akiwa pande hzo wamasai msituangushe kuleni chombo hio.

Hii inaonesha Tanzania ni nchi nzuri inapendwa sana na watu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
Hongera sana Dr HK kwa juhudi zako za kuitangaza TZ unforgetable! Kuna model anajiita kim kardashian"Joselyncano" ana followers 13m amekata kamba alipokuwa anajaribu upasuaji wa "MSAMBWANDA".
 
Wakuu weekend hii imekuwa bomba sana hasa Tanzania kutembelewa na moja wa warembo wakali sana duniani namzungumzia Demirose, mrembo na model kutoka United Kingdom.

Tangu muda huyu mrembo alisema anapenda sana kufika Tanzania kutembea finally amefika

Mrembo huyu amefika Arusha Serengeti National Park anakula maisha akiwa pande hzo wamasai msituangushe kuleni chombo hio.

Hii inaonesha Tanzania ni nchi nzuri inapendwa sana na watu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
Is she a liability or asset?
 
Back
Top Bottom