Hatimaye mrembo wa kimataifa, Demirose awasili Tanzania

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Wakuu weekend hii imekuwa bomba sana hasa Tanzania kutembelewa na moja wa warembo wakali sana duniani namzungumzia Demirose, mrembo na model kutoka United Kingdom.

Tangu muda huyu mrembo alisema anapenda sana kufika Tanzania kutembea finally amefika

Mrembo huyu amefika Arusha Serengeti National Park anakula maisha akiwa pande hzo wamasai msituangushe kuleni chombo hio.

Hii inaonesha Tanzania ni nchi nzuri inapendwa sana na watu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
IMG_7694.jpg

IMG_7691.jpg
 
Maendeleo hayana Chama, Uwe Chadema Uwe ACT, uwe CUF, uwe CCM unaweza kula chombo hicho.

Tanzania, hoyeee, Mrembo hoyeee, Serengeti hoyeeee🖐😍
 
Back
Top Bottom