Hatimaye mtanange wa yanga na simba waishia kwa 'sare'....!

kovai tamil taiga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
1,451
Reaction score
2,059
Mungu buana sijui kwa nini ameliweka jambo hili namna hii..kwamba Yanga Imepata sare kwa penati.Achilia mbali issue ya penati ile kuwa ilikuwa halali au la.?....manusura ni ile penati...! Isingekuwa kwa hisani ya PENATI ile sasa tungekuwa tunaimba 'kalale pema peponi Kamanda' .Hata hivyo wadau wengi wa Soka nchini wameomba marefarii kupitia chama chao(FRAT) wajitathmini....!
nini maoni yako?
 
Bila VAR tulete majini au marobot hakuna mwanadamu atakae ona kila jambo sometime tujitathmini sisi mashabikh
 
Hongera mikia kwa kulazimisha saree,cha nguruwe kingekatikia ndani
 
Acha hizo bhana.
Huyu huyu aliwahi kuwanyimma Azam penalty ya wazi wakicheza dhidi ya uto.

Pia kuna kauli ya GSM kwamba Uto wasipochukua ubingwa asilaumiwe kocha,mchezaji,wala benchi la ufundi,bali alaumiwe yeye.

Kauli hii inafikirisha na hasa tunapoona upangaji wa waamuzi katika mechi muhimu.Kwa sasa sina shaka na mbinu chafu zinazotumika kuhujumu mchezo wa soka ili wale waliopokewa airport waonekane wanajua.


Kuna mpango wa kuumiza wachezaji muhimu wa Simba. Utaona wanavyowakamia kuwaumiza Luis na Morrison na hata chama.Na vitendo hivi vya maksudi havitolewi adhabu stahiki uwanjani.

Ya waamuzi na uto ni kama nec na ccm.Yako wazi sana
Bila VAR tulete majini au marobot hakuna mwanadamu atakae ona kila jambo sometime tujitathmini sisi mashabikh
 
Yule babu alishindwa mbio na TK master kajatangulizia mpira kaukuta kibabu kaamua kumshika miguu ndani ya 18.tena alistahili red card tu.mna bahati mikia
 
Wakati Kagere anapewa penati na mwamuzi Jonisia mlikua nchi hii au mlikua njeya nchi? Mukoko Jana alitia biriyani mafuta ya taa.
 
Naomba povu lako nikafulie nguo.
 
Nahisi gsm kawekeza kwenye kamati ya waamuzi ni bora hii kamati ifumuliwe haiwezekani marefa haohao kwa timu ileile wanarudia makosa yaleyale
 
Hizi timu mbili zikikutanga hua kunakuaga na mambo mengi sana ya ajabu ajabu...



Cc: mahondaw
 
Wakati tunajiandaa kwenda kuzika, bahati nzuri marehemu alipiga chafya akiwa Mochwari[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…