kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,451
- 2,059
Mungu buana sijui kwa nini ameliweka jambo hili namna hii..kwamba Yanga Imepata sare kwa penati.Achilia mbali issue ya penati ile kuwa ilikuwa halali au la.?....manusura ni ile penati...! Isingekuwa kwa hisani ya PENATI ile sasa tungekuwa tunaimba 'kalale pema peponi Kamanda' .Hata hivyo wadau wengi wa Soka nchini wameomba marefarii kupitia chama chao(FRAT) wajitathmini....!
nini maoni yako?
nini maoni yako?