ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Acha kutoa maneno ya hovyo mkuu. Kama hukubaliani na mambo yake we piga kimyaa tu maana nothing will harm you.Amekwenda kutakasa vinyesi vyenu
Umeilewa mada kweli wewe, mtoa mada ameleta kejeli kwa simba. Hii ni mada ya utani wa mpira sio dini kama ulivofikiriaAcha kutoa maneno ya hovyo mkuu. Kama hukubaliani na mambo yake we piga kimyaa tu maana nothing will harm you.
Huyo Mwamposa mwenyewe anatumia ndumba na ngayiNadhani ile misemo ya 'kwa Mkapa hatoki mtu' huenda ikawa mwisho wake umewadia, baada ya Nabii Mtume Mwamposa kukesha humo usiku wa leo akiwa ameujaza uwanja.
Sasa tutegemee magoli ya kutosha tu hasa lile goli la Kusini ambako mipira mingi huwa inagonga nguzo, kupaa au kutoka ktk mazingira ya ajabu. Hakika sasa Mayele anaenda kuwa mpya.
Kamati ya ufundi ya hawa jamaa zetu itakua imetiliswa vibaya sana kwa kusanyiko la leo baada ya ndumba zilizofukiwa humo kuharibiwa kwa maji ya upako! Ukizingatia nyakati hizi wanapitia katika magumu.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Huyo hana tofauti na mods wa Jamhuri Forums (JF), wao wakiona umeweka thread ambayo imewakalia kushoto-hawaielewi-, fasta wameishaifuta.Umeilewa mada kweli wewe, mtoa mada ameleta kejeli kwa simba. Hii ni mada ya utani wa mpira sio dini kama ulivofikiria
Timu gani hadi sasa imo kwenye adhabu za kuonyesha vitendo vya kishirikina?Kuna team inaroga bongo kushinda yanga wale jamaa wachawi Africa mashariki yote inasubiria kinachotokea kwa simba ni ajali kazini tu.
Yeye mbona hajakaa kimya Kwa kutokubaliana na Mambo ya Simba? Kipi cha maana alichoandika huyo utopolo mwenzio?Acha kutoa maneno ya hovyo mkuu. Kama hukubaliani na mambo yake we piga kimyaa tu maana nothing will harm you.
Na nyumbani kwake anaitwa baba [emoji3][emoji3]Imagine mtu mzima kabisa anaandika hivi, safari bado sana
Kazi sana[emoji23][emoji23]
Kwahiyo hamtaki wenye mawazo tofauti na mtoa mada watoe mawazo yao hapa..!!??Acha kutoa maneno ya hovyo mkuu. Kama hukubaliani na mambo yake we piga kimyaa tu maana nothing will harm you.
Ni mwanamke, hakuna mwanaume anaweza andika hivyo