Hatimaye Mwamposa ameutakasa uwanja

Hatimaye Mwamposa ameutakasa uwanja

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Nadhani ile misemo ya 'kwa Mkapa hatoki mtu' huenda ikawa mwisho wake umewadia, baada ya Nabii Mtume Mwamposa kukesha humo usiku wa leo akiwa ameujaza uwanja.

Sasa tutegemee magoli ya kutosha tu hasa lile goli la Kusini ambako mipira mingi huwa inagonga nguzo, kupaa au kutoka ktk mazingira ya ajabu. Hakika sasa Mayele anaenda kuwa mpya.

Kamati ya ufundi ya hawa jamaa zetu itakua imetiliswa vibaya sana kwa kusanyiko la leo baada ya ndumba zilizofukiwa humo kuharibiwa kwa maji ya upako! Ukizingatia nyakati hizi wanapitia katika magumu.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Vipi eneo la kuchezea na vyoo vipo salama??

Bado tuna kongamano la Tafes na Baba Askofu Ruaichi atakuwa mgeni rasmi...

Uwanja ni wetu sote... wengine wasubiri Eid...
 
Nadhani ile misemo ya 'kwa Mkapa hatoki mtu' huenda ikawa mwisho wake umewadia, baada ya Nabii Mtume Mwamposa kukesha humo usiku wa leo akiwa ameujaza uwanja.

Sasa tutegemee magoli ya kutosha tu hasa lile goli la Kusini ambako mipira mingi huwa inagonga nguzo, kupaa au kutoka ktk mazingira ya ajabu. Hakika sasa Mayele anaenda kuwa mpya.

Kamati ya ufundi ya hawa jamaa zetu itakua imetiliswa vibaya sana kwa kusanyiko la leo baada ya ndumba zilizofukiwa humo kuharibiwa kwa maji ya upako! Ukizingatia nyakati hizi wanapitia katika magumu.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Huyo Mwamposa mwenyewe anatumia ndumba na ngayi
 
Umeilewa mada kweli wewe, mtoa mada ameleta kejeli kwa simba. Hii ni mada ya utani wa mpira sio dini kama ulivofikiria
Huyo hana tofauti na mods wa Jamhuri Forums (JF), wao wakiona umeweka thread ambayo imewakalia kushoto-hawaielewi-, fasta wameishaifuta.
 
Kuna team inaroga bongo kushinda yanga wale jamaa wachawi Africa mashariki yote inasubiria kinachotokea kwa simba ni ajali kazini tu.
 
Kuna team inaroga bongo kushinda yanga wale jamaa wachawi Africa mashariki yote inasubiria kinachotokea kwa simba ni ajali kazini tu.
Timu gani hadi sasa imo kwenye adhabu za kuonyesha vitendo vya kishirikina?
1) Kimataifa soth africa watu wamewasha moto katikati ya uwanja,faini ya milioni 20 ilitoka

2)mchezaji wao majuzi hapa uwanja wa sokoine amelazimisha luingia kwa nguvu uwanjani na kwenda kumwaga uchawi uwanjani.faini ya laki tano na kufungiwa michezo miwili

Aishi manula ktk mechi ya derby anaonekana anatupia kitu golini then anarusha taulo lake chini!

Case hizi hutazisikia ktk timu nyingine tz

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
View attachment 2449872
 
Back
Top Bottom