ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Nadhani ile misemo ya 'kwa Mkapa hatoki mtu' huenda ikawa mwisho wake umewadia, baada ya Nabii Mtume Mwamposa kukesha humo usiku wa leo akiwa ameujaza uwanja.
Sasa tutegemee magoli ya kutosha tu hasa lile goli la Kusini ambako mipira mingi huwa inagonga nguzo, kupaa au kutoka ktk mazingira ya ajabu. Hakika sasa Mayele anaenda kuwa mpya.
Kamati ya ufundi ya hawa jamaa zetu itakua imetiliswa vibaya sana kwa kusanyiko la leo baada ya ndumba zilizofukiwa humo kuharibiwa kwa maji ya upako! Ukizingatia nyakati hizi wanapitia katika magumu.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app