Hatimaye mwanamuziki Koffi Olomide mwenye miaka 69 amuoa mchumba wake wa miaka 20

Hatimaye mwanamuziki Koffi Olomide mwenye miaka 69 amuoa mchumba wake wa miaka 20

Kiswahili kigumu sana,wengi humu wamefeli kutafsiri umri wa cindy na umri wa mahusiano ya cindy na koffi. Anyway cindy ni mchepuko(mshindi miongoni mwa michepuko tele ya koffi) aliyepandishwa cheo
 
Kwa usawa huu, mwanamke mwenye miaka 70 akiwa na hela, anaolewa vizuri na kijana wa 18yrs.
Kweli kabisa vijana wa hovyo hawashindwi jambo, ila nadra sana case kama hizi kutokea japo zipo kwa uchache wake hata pasipo kuwa na hela, kuna watu wanapiga bibi zao kwa ajiri ya fantasy tu
 
Wakuu,

Mwimbaji mashuhuri wa Kongo, Koffi Olomide, ameamua rasmi maisha ya ndoa baada ya kuoa mpenzi wake wa muda mrefu, pia mwimbaji, Cindy Le Coeur. Wapendanao hao, ambao walikuwa wakipendana kwa takriban miaka ishirini, walioana , Februari 28

Sherehe hiyo iilihudhuriwa na marafiki na familia wa karibu. Wapendanao hao walibadilishana ahadi mbele ya afisa wa serikali ya Kongo na mashahidi wao.


cindy
 
Back
Top Bottom