Mkewe ni mama mtu mzima. Nafikiri yupo 40's. Alichomaanisha mtoto mada uchumba wao ndio umedumu kwa miaka 20.Kwamba Binti ameanza kufanya mapenzi na kofii tangu Binti akiwa na mwaka 1 !?
Njoo nawewe nakugonga moja hilohilo hata madrid nae atapigwa moja hilohiloDogo ushindi wenu wa goli moja dhidi ya Leeds unakupa kichwa
Uchumba ndio una miaka 20 sio huyo mama.kwahio binti alivyo zaliwa tu jamaa akampenda na wakawa wachumba?
Kiswahili kigumu. Uchumba ndio miaka 20 sio huyo mama.Yaani binti ana miaka 20 na wamekuwa wapenzi kwa miaka 20!
Yaani alipozaliwa tu wakaanza kuwa wapenzi.
Navuta picha ya binti yangu wa 20yrs ambaye bado yuko chuo na uncle huyo wa 69yrs nachoka kabisa.
Kiswahili kigumu. Uchumba ndio miaka 20 sio huyo mama.
Poleeee 😂😂😂😂mm kuna mmama wa 60+ kanigomea ila kimuonekano ni kama yupo kwenye late 40s, yaani kagoma kabisa.
Asante mkuu, bad thng haipiti sku 2 hatujakutana, ana tako fulan mbinuko, tukipishana analitingsha yan basi tu ili niumie...kuna cku nikamwambia "mbona nimeshakufak mara kibao kwenye ndoto" et akjbu, "eh,,,kumbe kwenye ndoto"Poleeee
Wakishaona tayari washafunga mkataba(Ndoa) ,wanaanzisha migogoro isiyo na kichwa wala miguu wakijua lazima ukitaka kuvunja yaani inakuwa PKP - Pasu Kwa Pasu - 50 50Hivi huwa ni kwanini?
Hamuelewi nini wapo kwenye mapenzi zaidi ya miaka 20 ndio wamwamua kufunga ndoaHapo Cindy kufuata tu urithi.
Baada ya kufunga ndoa atakuwa anajiuliza kila siku huyu Mzee atakufa lini nirithi Mali zake.
Ila wanawake 🤔
Hii ni akili fupi sana! Nikajua kuna sababu kama, huwa ni mazoea tu mtu anajisahau kwasabau kashakuwa na uhakika na huyo mtu, Lifetime🥲Wakishaona tayari washafunga mkataba(Ndoa) ,wanaanzisha migogoro isiyo na kichwa wala miguu wakijua lazima ukitaka kuvunja yaani inakuwa PKP - Pasu Kwa Pasu - 50 50
Kipi kihindi hapo we Ray? Miaka 20 isn’t a joke asee! We unaweza kuvumilia muda gani hujapewa kibumbu?Hapo Cindy kufuata tu urithi.
Baada ya kufunga ndoa atakuwa anajiuliza kila siku huyu Mzee atakufa lini nirithi Mali zake.
Ila wanawake 🤔
Kavumilia miaka yote hiyo kwa sababu anajua hapo kuna mtonyo.Kipi kihindi hapo we Ray? Miaka 20 isn’t a joke asee! We unaweza kuvumilia muda gani hujapewa kibumbu?
Miaka 20?? Hebu kuwa serious basi! Unavumilia unajuaje kama utalast huo muda wote? Ukachezee maisha yako kisa urithi? Huo ni upendo bwana.. ukiishi na mtu muda mrefu unaanza kumpenda automatically!Kavumilia miaka yote hiyo kwa sababu anajua hapo kuna mtonyo.
Wanasema mvumilivu hula mbivu bwashee😂
Kwa hiyo Kila mtu alikuwa anaishi kivyake Kwa muda wa miaka 20? Yan baada ya ndoa ndo wataanza kuishi pamoja?Cindy saivi ana miaka 50 amezaliwa 1976, ila akadanganya amezaliwa 1983. Ila kiuhalisia ni miaka 50, na koffie ameanza naye uhusiana tangu cindy akiwa na miaka 20, hiyo ni 1996.
😂😂😂😂😂Asante mkuu, bad thng haipiti sku 2 hatujakutana, ana tako fulan mbinuko, tukipishana analitingsha yan basi tu ili niumie...kuna cku nikamwambia "mbona nimeshakufak mara kibao kwenye ndoto" et akjbu, "eh,,,kumbe kwenye ndoto"
Najitahidi kuelewa heading na content kwa pamoja lakini akili inaniambia kuna kitu hakipo sawaWakuu,
Mwimbaji mashuhuri wa Kongo, Koffi Olomide, ameamua rasmi maisha ya ndoa baada ya kuoa mpenzi wake wa muda mrefu, pia mwimbaji, Cindy Le Coeur. Wapendanao hao, ambao walikuwa wakipendana kwa takriban miaka ishirini, walioana , Februari 28
Sherehe hiyo iilihudhuriwa na marafiki na familia wa karibu. Wapendanao hao walibadilishana ahadi mbele ya afisa wa serikali ya Kongo na mashahidi wao.