Hatimaye mwanamuziki Koffi Olomide mwenye miaka 69 amuoa mchumba wake wa miaka 20

Kiswahili kigumu sana,wengi humu wamefeli kutafsiri umri wa cindy na umri wa mahusiano ya cindy na koffi. Anyway cindy ni mchepuko(mshindi miongoni mwa michepuko tele ya koffi) aliyepandishwa cheo
 
Kiswahili kigumu sana,wengi humu wamefeli kutafsiri umri wa cindy na umri wa mahusiano ya cindy na koffi. Anyway cindy ni mchepuko(mshindi miongoni mwa michepuko tele ya koffi) aliyepandishwa cheo
Sasa na ww mbona hujaweka huo umri wa dada
 
Kwa usawa huu, mwanamke mwenye miaka 70 akiwa na hela, anaolewa vizuri na kijana wa 18yrs.
Kweli kabisa vijana wa hovyo hawashindwi jambo, ila nadra sana case kama hizi kutokea japo zipo kwa uchache wake hata pasipo kuwa na hela, kuna watu wanapiga bibi zao kwa ajiri ya fantasy tu
 
cindy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…