Hatimaye mwanamuziki Koffi Olomide mwenye miaka 69 amuoa mchumba wake wa miaka 20

Kwamba Binti ameanza kufanya mapenzi na kofii tangu Binti akiwa na mwaka 1 !?
 
Kwamba Binti ameanza kufanya mapenzi na kofii tangu Binti akiwa na mwaka 1 !?
Mkewe ni mama mtu mzima. Nafikiri yupo 40's. Alichomaanisha mtoto mada uchumba wao ndio umedumu kwa miaka 20.

Mchumba wa miaka 20, hapo maana yake wachumba wana miaka 20 ya uchumba. Kama anheandika mchumba mwenye miaka 20,hapo ndipo angemaanisha mkewe ana miaka 20.
 
Yaani binti ana miaka 20 na wamekuwa wapenzi kwa miaka 20!

Yaani alipozaliwa tu wakaanza kuwa wapenzi.

Navuta picha ya binti yangu wa 20yrs ambaye bado yuko chuo na uncle huyo wa 69yrs nachoka kabisa.
Kiswahili kigumu. Uchumba ndio miaka 20 sio huyo mama.
 
Asante mkuu, bad thng haipiti sku 2 hatujakutana, ana tako fulan mbinuko, tukipishana analitingsha yan basi tu ili niumie...kuna cku nikamwambia "mbona nimeshakufak mara kibao kwenye ndoto" et akjbu, "eh,,,kumbe kwenye ndoto"
 
Kuna la kujifunza WANAUME...sasa jikuteni ni maninja NDOA mapemaaa hiiiii..KOFFI kawafunza msipoelewa shauri lenu.

Cindy for 20yrs

Ndoa saizi.... lesson learned
 
Wakishaona tayari washafunga mkataba(Ndoa) ,wanaanzisha migogoro isiyo na kichwa wala miguu wakijua lazima ukitaka kuvunja yaani inakuwa PKP - Pasu Kwa Pasu - 50 50
Hii ni akili fupi sana! Nikajua kuna sababu kama, huwa ni mazoea tu mtu anajisahau kwasabau kashakuwa na uhakika na huyo mtu, Lifetime🥲
 
Cindy saivi ana miaka 50 amezaliwa 1976, ila akadanganya amezaliwa 1983. Ila kiuhalisia ni miaka 50, na koffie ameanza naye uhusiana tangu cindy akiwa na miaka 20, hiyo ni 1996.
Kwa hiyo Kila mtu alikuwa anaishi kivyake Kwa muda wa miaka 20? Yan baada ya ndoa ndo wataanza kuishi pamoja?
 
Najitahidi kuelewa heading na content kwa pamoja lakini akili inaniambia kuna kitu hakipo sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…