Hatimaye, Mwili wa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Evod Mmanda, wazikwa na Serikali

Tumekuwa tukisisitiza huu ugonjwa wa "changamoto ya kupumua" hauchagui, kuna watu wanatuona kama sio wazalendo.R.I.P Mh, mnazikwa kama commoners
 
R.I.P. Ona watumishi hao wanaozika PPE yao sasa. Hawana hata overol. Too sad. Wapo exposed sana. Coronavirus hajawagusa kweli ?
Hapo wanazika Kiongozi wa level ya DC,hali ikoje kwa RAIA wa kawaida?Usalama wa wazikaji ni wa hali duni sana,kwenye kugundua,kutibu na kuwasidia wagonjwa na washukiwa wa COVID-19 ni mbaya zaidi.
 
Hapo wanazika Kiongozi wa level ya DC,hali ikoje kwa RAIA wa kawaida?Usalama wa wazikaji ni wa hali duni sana,kwenye kugundua,kutibu na kuwasidia wagonjwa na washukiwa wa COVID-19 ni mbaya zaidi.
Ndo maana raia wasio na vyeo wanazikwa usiku.
 
Mungu atuokoe. Huu ugonjwa umeharibu kabisa ustaarabu wa mwanadamu. Yaani unazikwa kama mnyama. Unazikwa sehemu ambayo siyo kwenu. Halafu inaonekana kama wamemzika porini. Mbona hakuna makaburi mengine?
 
Dah!... inatisha sana
 

Inawezekana hiyo ni mazoezi kwa ajili ya kuja kutumika kwetu sisi tutakapokuwa tumeputiwa na kale kaupepo.

Vifo vya kale kaupepo katu mazishi yake hawawezi kuwa wamevaa sawa na vile vya yale mengine.
 
Kama kafarikia kwa magonjwa ya kawaida,hizo protective gear zote za nini?
Nina mashaka na elimu yako,ulitaka wavae mokasin? Hujui kama maiti nayo inaweza kukamatwa na virusi japo marehemu anaweza kuwa hakufa kwa corona?

Ndio mana ulipist picha unashangaa wahudumu na manesi kuvaa gloves na mask,hujazoea kuona hivyo masikini ya mungu,hivyo vifaa ni lazima vivaliwe haswa wakati huu wa janga
 
Endeleeni kuigiza tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…