Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,059
Anaogopa tatizo la upumuajiNaona Baba Padri amekaa mbali analiogopa jeneza
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaogopa tatizo la upumuajiNaona Baba Padri amekaa mbali analiogopa jeneza
Sijui kwanini haachi yetu licha ya kwenda shule lakini ujinga bado haujatutoka na tunahusudu umbea kama vile jinsia ya muandikaji ni ya kiume.Kama kafarikia kwa magonjwa ya kawaida,hizo protective gear zote za nini?
Mpaka mabuti na makoti?
Kwa picha hii,serikali hapa imesimamia mazishi au serikali ndio imezika?
Hii picha inaongea mengi unless huu ndio utaratibu wa kawaida kwa wanaozikwa na serikali.
Hali ni mbaya kwa wahudumu wa afya chakwanza idadi yao ni ndogo cases zitawazidia na kushindwa kufanya kazi pia usalama wao kazi niwakutisha sio siri wao wenyewe wanaogopa kutibu watu ventilation zipo chache sembuse nguo tulishindwa jiandaa nazoHapo wanazika Kiongozi wa level ya DC,hali ikoje kwa RAIA wa kawaida?Usalama wa wazikaji ni wa hali duni sana,kwenye kugundua,kutibu na kuwasidia wagonjwa na washukiwa wa COVID-19 ni mbaya zaidi.
hilo ni eneo lake alinunua enzi za utumishi wake... kwa hiyo siyo poriniMungu atuokoe. Huu ugonjwa umeharibu kabisa ustaarabu wa mwanadamu. Yaani unazikwa kama mnyama. Unazikwa sehemu ambayo siyo kwenu. Halafu inaonekana kama wamemzika porini. Mbona hakuna makaburi mengine?
hilo ni eneo lake alinunua enzi za utumishi wake... kwa hiyo siyo porini
Mtu wa Kilimanjaro ila akiwa kazini mtwara alinunua ardhi kiongoziOk. Kumbe Mmanda ni watu wa Mtwara. Nilikuwa sijui.