Hatimaye, Mwili wa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Evod Mmanda, wazikwa na Serikali

Hatimaye, Mwili wa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Evod Mmanda, wazikwa na Serikali

Kama kafarikia kwa magonjwa ya kawaida,hizo protective gear zote za nini?

Mpaka mabuti na makoti?

Kwa picha hii,serikali hapa imesimamia mazishi au serikali ndio imezika?

Hii picha inaongea mengi unless huu ndio utaratibu wa kawaida kwa wanaozikwa na serikali.
Kwani ugonjwa wa 'changamoto ya kupumua' hujauelewa tu Mkuu?
 
Mh! Hii mbona hatari sana hii kitu! Kama mkuu wa wilaya na wakili msomi maziko ndio haya, kwa makapuku huko ndege beach kwa kondo hali ikoje? Balaa hili.
Kwani kuna wakili ambae siyo msomi?
 
Nina mashaka na elimu yako,ulitaka wavae mokasin?
Hujui kama maiti nayo inaweza kukamatwa na virusi japo marehemu anaweza kuwa hakufa kwa corona?
Ndio mana ulipist picha unashangaa wahudumu na manesi kuvaa gloves na mask,hujazoea kuona hivyo masikini ya mungu,hivyo vifaa ni lazima vivaliwe haswa wakatj huu wa janga
We jamaa hiyo elimu yako ulisomea wapi, ko wanaikinga maiti isipate korona au unamaanisha nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wazikaji nawahurumia, yaani bado sana Protective gears za kiboya kama hvyo.. Yaan wanachezea corona namna huu..
Check RC ilivyojitenga na Padre.. Dadadeq kazi ipo
 
So sad,pumzika kwa amani kaka,sote ni waja wa Mwenyezi Mungu na Kwake tutarudi.Poleni sana familia,ndugu,jamaa na marafiki na wana Mtwara wote kwa msiba huu mzito.R.I.P
 
Kama kafarikia kwa magonjwa ya kawaida,hizo protective gear zote za nini?

Mpaka mabuti na makoti?

Kwa picha hii,serikali hapa imesimamia mazishi au serikali ndio imezika?

Hii picha inaongea mengi unless huu ndio utaratibu wa kawaida kwa wanaozikwa na serikali.
Salary Slip usiulize maswali mengi. Fanya hivi: 1+1=2.
 
Japo kuzikwa ni kuzikwa tu ila inahudhunisha sana aisee uzikaji huu. INAUMA SANA!
Kaka, huyu na Mama Rwakatare wamezikwa kifalme. Kwa kina kamchape hatujui yanayoendelea.
 
Hayo maziko yamekaa kiCorona kwa 100%. Sijui hapo tunafichwa nini?
 
Back
Top Bottom