mcndomba maprosoo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 225
- 94
RIP our beloved DCMazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda yamefanyika asubuhi ya leo eneo la Pemba Mvita na kuhudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa.
Mazishi hayo yamehudhuriwa na ndugu wachache na kusimamiwa na serikali.
View attachment 1433249View attachment 1433251View attachment 1433253
Kwani ugonjwa wa 'changamoto ya kupumua' hujauelewa tu Mkuu?Kama kafarikia kwa magonjwa ya kawaida,hizo protective gear zote za nini?
Mpaka mabuti na makoti?
Kwa picha hii,serikali hapa imesimamia mazishi au serikali ndio imezika?
Hii picha inaongea mengi unless huu ndio utaratibu wa kawaida kwa wanaozikwa na serikali.
Kwani kuna wakili ambae siyo msomi?Mh! Hii mbona hatari sana hii kitu! Kama mkuu wa wilaya na wakili msomi maziko ndio haya, kwa makapuku huko ndege beach kwa kondo hali ikoje? Balaa hili.
... swali zuri kwa wanaojiita "learned brothers"; ni wao wanajitambulisha hivyo sio mimi niliyewaita hivyo.Kwani kuna wakili ambae siyo msomi?
Dunia inaenda kasi sana kakaApumzike kwa amani wengi wamekosa mazishi ya namna hii.. Bila familia, bila ndugu bila marafiki halafu usiku gizani kimyakimya [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
Jr[emoji769]
We jamaa hiyo elimu yako ulisomea wapi, ko wanaikinga maiti isipate korona au unamaanisha nini?Nina mashaka na elimu yako,ulitaka wavae mokasin?
Hujui kama maiti nayo inaweza kukamatwa na virusi japo marehemu anaweza kuwa hakufa kwa corona?
Ndio mana ulipist picha unashangaa wahudumu na manesi kuvaa gloves na mask,hujazoea kuona hivyo masikini ya mungu,hivyo vifaa ni lazima vivaliwe haswa wakatj huu wa janga
Pemba mvita ni mkoa gani??Mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda yamefanyika asubuhi ya leo eneo la Pemba Mvita na kuhudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa.
Mazishi hayo yamehudhuriwa na ndugu wachache na kusimamiwa na serikali.
View attachment 1433249View attachment 1433251View attachment 1433253
Picha hii kutafasiri ni rahisi huwezi uliza why?? Labda utauliza nani na wapi? Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Afrika!Mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda yamefanyika asubuhi ya leo eneo la Pemba Mvita na kuhudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa.
Mazishi hayo yamehudhuriwa na ndugu wachache na kusimamiwa na serikali.
View attachment 1433249View attachment 1433251View attachment 1433253
Salary Slip usiulize maswali mengi. Fanya hivi: 1+1=2.Kama kafarikia kwa magonjwa ya kawaida,hizo protective gear zote za nini?
Mpaka mabuti na makoti?
Kwa picha hii,serikali hapa imesimamia mazishi au serikali ndio imezika?
Hii picha inaongea mengi unless huu ndio utaratibu wa kawaida kwa wanaozikwa na serikali.
Kweli kabisa mkuu.Salary Slip usiulize maswali mengi. Fanya hivi: 1+1=2.
Kaka, huyu na Mama Rwakatare wamezikwa kifalme. Kwa kina kamchape hatujui yanayoendelea.Japo kuzikwa ni kuzikwa tu ila inahudhunisha sana aisee uzikaji huu. INAUMA SANA!
Kazikwa katika kiwanja chake sio porini, na wala sio makaburi ndio.RIP Mmanda,
hapo ulipozikwa sidhani kama ni makaburini, naona kama ni porini vile,,,,