Sijui kwanini haachi yetu licha ya kwenda shule lakini ujinga bado haujatutoka na tunahusudu umbea kama vile jinsia ya muandikaji ni ya kiume.
Mosi tulisha elezwa toka mwanzo wa huu ugonjwa kwa watu walio katika risk ni wazee kwani wengi wao immune system imepungua
Pili watu walio na underlining condition. Or diseases.
Sasa ktk vifoo vilivyotokea wiki hii , wengi wao tumeambiwa walikuwa na magonjwa mengine, hivyo immune system yao ilikuwa na nguvu kidogo. Kupambana na virus wengine na zaidi ya hapo kulazwa hospital kuliwaleta karibu na huu ugonjwa , asante
Kama kafarikia kwa magonjwa ya kawaida,hizo protective gear zote za nini?
Mpaka mabuti na makoti?
Kwa picha hii,serikali hapa imesimamia mazishi au serikali ndio imezika?
Hii picha inaongea mengi unless huu ndio utaratibu wa kawaida kwa wanaozikwa na serikali.