Hatimaye nafunga ndoa, hakika huyu binti anastahili kuolewa

Hatimaye nafunga ndoa, hakika huyu binti anastahili kuolewa

Hakikisheni mnavutiwa na muonekano wa wenzi wenu pia, sio akili na tabia pekee.
💯🤝 maana huyo ni mtu ambaye mtaishi naye kila siku maisha yote mpaka kifo kiwatenganishe kama haujavutiwa naye ni janga mbeleni

Kuna mwamba alikuja na uzi humu anashukuru ameachana na mke ambaye hakuvutiwa naye
 
Ndoa ni jambo jema mkuu
Ndoa ni ibada
Ndoa ni mpango wa mungu kwa wanadamu
Ndoa ni chachu ya utajili/umasikini
Ndoa ni furaha/raha amani na utamu
Ndoa ni shida na matatizo
 
Kwa jinsi ulivyompamba huyo jitwishe haraka,kabla hawajabeba wengine. Hapo ndio moyo wako ulipotulia.
Umeuliza swali hawezi kubadirika?. Kama unajua wanabadirika kama umeamua kuoa yoyote yule anaweza kubadirika. Kwa hiyo jitwishe huyo uliemzoea
 
Shukrani, at least huyu niliopambana nae toka tukiwa gizani kuliko wengine ambao wamekuja baada Mimi ya kuanza kuona mwanga kidogo
 
Back
Top Bottom