Hatimaye nami nimepata mchumba wa kuoa

Hatimaye nami nimepata mchumba wa kuoa

Good!, siku unamleta mjini, pitia dukan nkupe codes kali za kisasa kabisa, tumbadilishe mwonekano
 
Tuletee huyo kuku wa kienyeji tumfundishe kunywa Heineken na kustarehe mjini![emoji23]

Majibu utayapata tu hata kina Shilole walipotoka Igunga na kufika mjini mwanzoni walikuwa na adabu.
Jini mkata kamba nakuona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Good!, siku unamleta mjini, pitia dukan nkupe codes kali za kisasa kabisa, tumbadilishe mwonekano
No thank you.
Tutaishi maisha ya kwetu kulingana na mfuko wetu.
 
Wakuu salam!

Nimekuwa nikihangaika kutafuta msichana wa kuoa kwa miezi kadhaa bila mafanikio. Nikadiriki kuleta uzi kule love connect kutafuta msichana wa kuoa lakini sikuambulia hata salam ya msichana hata mmoja.

ASANTENI SANA, KARIBUNI
Kila lenye heri mkuu, Mungu awatangulie.
 
Tuletee huyo kuku wa kienyeji tumfundishe kunywa Heineken na kustarehe mjini![emoji23]

Majibu utayapata tu hata kina Shilole walipotoka Igunga na kufika mjini mwanzoni walikuwa na adabu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].duh!!!
 
Tuletee huyo kuku wa kienyeji tumfundishe kunywa Heineken na kustarehe mjini![emoji23]

Majibu utayapata tu hata kina Shilole walipotoka Igunga na kufika mjini mwanzoni walikuwa na adabu.

Jf mnakatisha wenzenu tamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa Igunga tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom