Hatimaye naoa

Hongera, Mungu akakufanyie furaha na amani katika hatua hii mpya.
 
Mkuu una hasara yaani unaoa Ili jamii ijue unadindisha?Na kama pasona yako ningumu na unajua,niki kwambia huyo manzi nae yupo kama ww ila anaficha pasona yake hadi aolewe ndio aichie Utabisha?Tumia akili
 
UMEPATWA NA NINI MKUU?
 
Unaoa kisa wadogo zako wameoa ,sio kwamba una malengo yako
 
Mkuu una hasara yaani unaoa Ili jamii ijue unadindisha?Na kama pasona yako ningumu na unajua,niki kwambia huyo manzi nae yupo kama ww ila anaficha pasona yake hadi aolewe ndio aichie Utabisha?Tumia akili
Hapana mkuu ishu hata siyo ningekua naoa kwasababu ya ushawishi ningekua nimefanya hivo miaka ya nyuma!
mdogo wangu wa 3 kaoa ana miaka 24
mdogo wangu mwingine miaka26
mwingine 25
sasa miaka yote hyo ingekua ni ushawishi ningekua nishaoa zamani kama ni mtu wa kushawishika
 
Penzi jipya huwa hivyohivyo. Mtaachana tu. πŸ˜„
 
Too much negativity in here, watu wako na different experiences Don't drag you marriage failures into our brand new anticipated married brother. Oa mkuu I Support πŸ’― kila mtu yuko na destiny yake, I got married when I was 27 now I'm 35 happy father of 2 boys, husband and proud.
 
Kama huyo mrembo anaamini chake ni chenu na chako ni chenu oa mkuu tofauti na hapo tuliza kwanza akili
 
Andaa jeneza mkuu
Haahaa kama 7.6 au?


ukitulia pitia hapa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…