Hatimaye naoa

Hatimaye naoa

One who finds a wife,finds what is good ,and receive favor from God....ikawe heri
Screenshot_20240306-154413_2.jpg
 
"Wakuu naoa mimi [emoji23][emoji23]
Alooo [emoji23][emoji23][emoji23] Kwanza ncheke

Naongea kwa utani kwasababu mimi nina masihara sana. Hadi sasa nina miaka 34. Wadogo zangu wote walishaoa. Umri wangu walishaoa. Kila naemjua alishaoa

Nimesemwa sana aisee Wazazi walihisi sidindi daah. Ila nilikua sijapata mtu ambae hata wazo la kumuoa lilikua linakuja kichwani. Kifupi kila niliokua nao Tulikua hatuendani. Kuna binti mmoja sasa ndo nilivomuona nikasema namuoa.

KIFUPI TANGU SIKU YA KWANZA NILIVOKUTANA NAE nikajisemea huyu ndio mke wangu! La haulaaaaa Ghafla imo , ni mvumilivu ananivumilia yaan mimi nina personality ngumu sana !! Yaan huwa najisemea hata ningekua mwanamke singeweza kuishi na mtu kama mimi”

Hali hiyo ilinifanya nichelewe kuoa au kufuata mkumbo wa kuoa. Naomba Mungu anilipizie maumivu yote. Ndoa ikawe ndoa kweli kweli. Nikatoe kizazi bora. Siku nitazame subira yote hii niseme ilikua na maana kubwa sana.

Najua ndani kunaweza kuwa kivumbi lakini kama utabiri wangu ni kweli Basi huyu ndie niliyechaguliwa na mungu

Wakuu
Usiache kushare experience yako tunajifunza mengi kutoka kwa watu kuliko kusoma vitabu na movie"
Mc pili pili ameshanyolewa huko

Ndoa hizi balaa

Mc pili pili ameshanyolewa huko

Ndoa hizi balaa

Uko sahihi kabisa, acha dawa ita mwingia tu🤓🤣
 
"Wakuu naoa mimi 😂😂
Alooo 😂😂😂 Kwanza ncheke

Naongea kwa utani kwasababu mimi nina masihara sana. Hadi sasa nina miaka 34. Wadogo zangu wote walishaoa. Umri wangu walishaoa. Kila naemjua alishaoa

Nimesemwa sana aisee Wazazi walihisi sidindi daah. Ila nilikua sijapata mtu ambae hata wazo la kumuoa lilikua linakuja kichwani. Kifupi kila niliokua nao Tulikua hatuendani. Kuna binti mmoja sasa ndo nilivomuona nikasema namuoa.

KIFUPI TANGU SIKU YA KWANZA NILIVOKUTANA NAE nikajisemea huyu ndio mke wangu! La haulaaaaa Ghafla imo , ni mvumilivu ananivumilia yaan mimi nina personality ngumu sana !! Yaan huwa najisemea hata ningekua mwanamke singeweza kuishi na mtu kama mimi”

Hali hiyo ilinifanya nichelewe kuoa au kufuata mkumbo wa kuoa. Naomba Mungu anilipizie maumivu yote. Ndoa ikawe ndoa kweli kweli. Nikatoe kizazi bora. Siku nitazame subira yote hii niseme ilikua na maana kubwa sana.

Najua ndani kunaweza kuwa kivumbi lakini kama utabiri wangu ni kweli Basi huyu ndie niliyechaguliwa na mungu

Wakuu
Usiache kushare experience yako tunajifunza mengi kutoka kwa watu kuliko kusoma vitabu na movie"
Oa tukutombee, ahsante
 
kumbuka ndoa ni kuficha aibu ya mwanamke
 
Back
Top Bottom