Wakuu naoa mmππ
Alooo πππKwanza ncheke
Naongea kwa utani kwasababu mm nina masihara sana.Hadi sasa nina miaka 34
Wadogo zangu wote walishao
Umri wangu walishaoa
Kila naemjua alishaoa
Nimesemwa sana aisee
Wazazi walihisi sidindi daah
Ila nilikua sijapata mtu ambae hata wazo la kumuoa lilikua linakuja kichwani.
Kifupi kila niliokua nao Tulikua hatuendani .
Kuna binti mmoja sasa ndo nilivomuona nikasema namuoa !
KIFUPI TANGU SIKU YA KWANZA NILIVOKUTANA NAE nikajisemea huyu ndio mke wangu!
La haulaaaaa Ghafla imo ,,,ni mvumilivu ananivumilia yaan mm nina personality ngumu sana !! Yaan huwa najisemea hata ningekua mwanamke singeweza kuishi na mtu kama mmββ¦..
Hali hyo ilinifanya nichelewe kuoa au kufuata mkumbo wa kuoa.
Naomba Mungu anilipizie maumivu yote
Ndoa ikawe ndoa kweli kweli
Nikatoe kizazi bora
Siku nitazame subira yote hii niseme ilikua na maana kubwa sanaβ¦β¦.
Najua ndani kunaweza kuwa kivumbi lakini kama utabiri wangu ni kweli Basi huyu ndie niliyechaguliwa na mungu
Wakuu
Usiache kushare experience yako tunajifunza mengi kutoka kwa watu kuliko kusoma vitabu na movie