Hatimaye naoa

Hatimaye naoa

Wakuu naoa mm😂😂

Alooo 😂😂😂Kwanza ncheke

Naongea kwa utani kwasababu mm nina masihara sana.Hadi sasa nina miaka 34
Wadogo zangu wote walishao
Umri wangu walishaoa
Kila naemjua alishaoa

Nimesemwa sana aisee
Wazazi walihisi sidindi daah
Ila nilikua sijapata mtu ambae hata wazo la kumuoa lilikua linakuja kichwani.
Kifupi kila niliokua nao Tulikua hatuendani .
Kuna binti mmoja sasa ndo nilivomuona nikasema namuoa !
KIFUPI TANGU SIKU YA KWANZA NILIVOKUTANA NAE nikajisemea huyu ndio mke wangu!

La haulaaaaa Ghafla imo ,,,ni mvumilivu ananivumilia yaan mm nina personality ngumu sana !! Yaan huwa najisemea hata ningekua mwanamke singeweza kuishi na mtu kama mm”…..

Hali hyo ilinifanya nichelewe kuoa au kufuata mkumbo wa kuoa.

Naomba Mungu anilipizie maumivu yote
Ndoa ikawe ndoa kweli kweli
Nikatoe kizazi bora
Siku nitazame subira yote hii niseme ilikua na maana kubwa sana…….

Najua ndani kunaweza kuwa kivumbi lakini kama utabiri wangu ni kweli Basi huyu ndie niliyechaguliwa na mungu

Wakuu
Usiache kushare experience yako tunajifunza mengi kutoka kwa watu kuliko kusoma vitabu na movie

Hiyo ni kwa manufaa yako na familia tarajiwa ,sasa maringo/majigambo ya nini🤓
 
Sasa hiv nipo kwenye mfungo na katka hitaji nnaloomba ni Mungu anipe ninaestahili...hakika apatae mke amepata kitu chema...
 
Back
Top Bottom