Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Nataka nini?? Siwezi mtaka dada mwenzangu jamaniWe nawe vipi au na wewe unataka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka nini?? Siwezi mtaka dada mwenzangu jamaniWe nawe vipi au na wewe unataka?
Unataka uwekwe hapaNataka nini?? Siwezi mtaka dada mwenzangu jamani
Mtoto mdogo huna cha kunifanya hata nisipofuta....Futa
kaka mi nafurahi kuanzisha familia lakini sichukulii kama mafanikio au tuzoAliyekudanganya kuoa ni mafanikio ni nani kijana wetu?
😇Mtoto mdogo huna cha kunifanya hata nisipofuta....
Tunakupa mudakaka mi nafurahi kuanzisha familia lakini sichukulii kama mafanikio au tuzo
oyoooooo jaman ndoa raha😂😂Mkuu labla ndoa yako ila za wengi hazipo hivyo zina furaha,Amani na Upendo 😍
kwaiyo mkuu nitakaa mwenyewe maisha yote. Naamini kupotea kwa furaha moja ni kuja kwa furaha nyingine piaNgome ya furaha uliyojijengea kwa miaka 34 unakwenda kuipoteza kwa sababu ya social pressure. Pole. Ila kila la kheri mkuu
Wasikutishe wala kukukatisha tamaa 😀😀oyoooooo jaman ndoa raha😂😂
Huo utoto usiingie nao huko utatoka mkuu mkukuoyoooooo jaman ndoa raha😂😂
Wewe m-pump tuWasikutishe wala kukukatisha tamaa 😀😀
Muda ni Mwalimu anafundisha vizuri sanaAcha tuone mwisho wake. 😀 😀 😀 😀 😀
Naongea uhalisia mkuuWewe m-pump tu
Wakuu naoa mm😂😂
Alooo 😂😂😂Kwanza ncheke
Naongea kwa utani kwasababu mm nina masihara sana.Hadi sasa nina miaka 34
Wadogo zangu wote walishao
Umri wangu walishaoa
Kila naemjua alishaoa
Nimesemwa sana aisee
Wazazi walihisi sidindi daah
Ila nilikua sijapata mtu ambae hata wazo la kumuoa lilikua linakuja kichwani.
Kifupi kila niliokua nao Tulikua hatuendani .
Kuna binti mmoja sasa ndo nilivomuona nikasema namuoa !
KIFUPI TANGU SIKU YA KWANZA NILIVOKUTANA NAE nikajisemea huyu ndio mke wangu!
La haulaaaaa Ghafla imo ,,,ni mvumilivu ananivumilia yaan mm nina personality ngumu sana !! Yaan huwa najisemea hata ningekua mwanamke singeweza kuishi na mtu kama mm”…..
Hali hyo ilinifanya nichelewe kuoa au kufuata mkumbo wa kuoa.
Naomba Mungu anilipizie maumivu yote
Ndoa ikawe ndoa kweli kweli
Nikatoe kizazi bora
Siku nitazame subira yote hii niseme ilikua na maana kubwa sana…….
Najua ndani kunaweza kuwa kivumbi lakini kama utabiri wangu ni kweli Basi huyu ndie niliyechaguliwa na mungu
Wakuu
Usiache kushare experience yako tunajifunza mengi kutoka kwa watu kuliko kusoma vitabu na movie
Hiyo ni kwa manufaa yako na familia tarajiwa ,sasa maringo/majigambo ya nini🤓Wakuu naoa mm😂😂

Uhalisia upi?Naongea uhalisia mkuu
Unafanya nini ukipita?Huu mwaka haupiti walah..
Uliwahi kuoa?Uhalisia upi?
Sitaki kusikia kuhusu kuoa, sorry km unakwadhika kusikia hivyoUliwahi kuoa?