Hatimaye naoa

Hatimaye naoa

Kwakua umeshafanya maamuzi.

Kila la kheri katika uchaguzi wako.

Ila ungekuja kuomba ushauri wa kutaka kuoa ningekwambia.

RIDHIA MAHUSIANO NA

KATAA NDOA.

ILA KWAKUA UMEAMUA BASI NENDA UKAISHI KWA TAHADHARI⚠️⚠️⚠️
 
Back
Top Bottom