Hatimaye ngoma ya UNACHEZAJE ya Diamond yaingia kwenye playlist kubwa duniani

Huo wimbo sio mzuri , na mimi sio hater, ingekua mara ya kwanza ndio anatoa nyimbo tungesema sawa, tungekua hatuna comparisons, ila ana nyimbo kibao ambazo ni hitsongs ambazo ukiangalia utagundua hii ngoma ya #unachezaje# iko below standard zake...nyie team Mondi ndio wabaya hamtaki kumuambia ukweli...lol
 
Acha kudanya watu basi,hebu pitia huu uzi halafu uje hapa useme chochote
 
Muziki kama dalala umejaa wapiga debe. Acheni kazi nzuri zijieleze hakuna haja ya kuwaelimisha watu kuwa nyimbo hii ni nzuri.

Na mbona hii tabia imeshamiri siku hizi
 
Anajua kuwa ana Target soko mkuu


Iyobo amesema "ukitaka nyimbo nzuri ....kasikilize kwaya.....but ukitaka mziki mzur nenda WCB
Shida nn ujue,ukishaanza kupuuziwa kwako hata huko unapojivunia utapuuziwa tu,ni suala la muda tu
 

Asante sana mdau kwanza muhimu ni ufahamu hafifu wa watu kuhusu music markets or rather Market targeting kwa Music industry, Segment kubwa ya fans ipo 30 years and below na ukicheki 20 yrs below kwa bongo wanabambika sana n.a. Hii music type, uchezaji wa kubamba na innovative. Mond wengi huwa wanamsifia ila kwa mfumo wa kumkosoa inawauma kutamka chanya ulimini juu yake kwa yuko kwa next next horizon that is unimaginable among the majority.
 
Hapana mkuu.....soko la ndani lina ushindani mwingi na kuhusu kufjkisha views 1m per hour .....sio hoja mfano alikiba afkisha views kwa masaa but mda unavyozid kwenda spidi inapungua ....ila mond .....views zinafika mbali sana
 
Wabongo wabaya Sana.......anaita wimbo mbaya ....akiwa geto anaweka auto repeat
 
Acha kuishi kwa historia mkuu
 
Muziki kama dalala umejaa wapiga debe. Acheni kazi nzuri zijieleze hakuna haja ya kuwaelimisha watu kuwa nyimbo hii ni nzuri.

Na mbona hii tabia imeshamiri siku hizi
Wachambuzi lazima wafanye kaz zao
 
Kweli mkuu ....umeongea fact sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…