Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Status
Not open for further replies.
YOU ARE RIGHT MY FRIEND, HATA KAMA BALALI KAFA LAKINI THE INFORMATION IS UNWARANTED, WE ARE NOT FOOLS HERE ARE SOME OF THE THINGS I HAVE NOTED.

1. THE PERSON DIES AT HOME. JUSTIFICATION TO AVOID CONFIRMATION OF DEATH AT THE HOSPITAL INCASE A THIRD PARTY WANTS TO VERIFY.

2. THE BODY IS NOT BROUGHT TO TANZANIA. - TRADITIONAL THE BODY WOULD BE VIEWED BY EVERYONE AND IN TZ THERE IS NO INVITATION TO A FUNERAL.

3. BODY VIEWING IS RESTRICT TO CLOSE FRIENDS AND FAMILY- THIS DOESNT SOUND GOOD.

4. TO MY KNOWLEDGE NO MAJOR NEWPAPER IN USA HAS PUBLISHED A SORRY ABOUT THE DEATH AND THE CONTROVERSY (KAMA GAZETI LIPO JAMANI TUAMBIENI). -IS IT THAT TANZANIA IS NOT A WELL KNOW COUNTRY IN WORLD AMA NI NINI.

MANY THINGS HERE ARE RIGHT, MIMI SIAMINI KABISA KABISA NA KABISA

Muungwana yuko kimya,Mkullo yuko naye kimya, hata kutoa pole wameshindwa. Pole si Ndiyo uungwana wa kiafrika hawa wenzetu mbona wako kimya au wamefurahia Balali "kufa" kifo iki chenye utata?
 
Anna Muganda Kafanikiwa Kulidanganya Taifa Mpaka Serikali Yake Kuwa Mumewe Kafa....... Duh Hii Kweli Kali
 
Yeah nasikia kuna mkusanyiko kidogo kwa siri kubwa kule boko nymbani kwake, lakini ni kwa ndugu tu ndo maana wameweka polisi kuzuia watu wengine wasije wakaanza kuwaoji ndugu kitu kinachoendelea hawaruhusu watu kuingia.
 
Mambo mengine bwana!
 
Unaona ni kiasi gani serikali inavyo wabeba hao jamaa......
 
Wakuu Heshima mbele,

Ni haki ya kila mwananchi kusema maoni yake hapa, ndio maana ya demokrasia;-

1. Mwanzoni kama wengine hapa nilikuwa nimekataa kuwa hajafariki, mpaka jana nilipothibitisha ukweli 100%, kuwa amefariki mwanzoni vyanzo vyangu vilichanganya betweeen Winsconsin as a State na Street, lakini ninarudia kuwa ninaamini 100% kuwa amefariki dunia, na mazishi ni leo katika makaburi ya The Heaven Of Peace, kule DC.

2. Aliyeuliza kuhusu ubalozi, sijakuelewa swali lako, ninachojua ni kuwa Tanzania tuna ubalozi wetu US, nao upo DC, ambao toka kifo kitokee wamekuwa wajiaribu sana kujihusisha lakini wampeigwa stop na mjane wa marehemu, ambaye nasikia hataki anything to do na serikali yetu period!

3. Mkono ndiye aliyekuwa wakili wake wa binafsi, hizi ni dataz ambazo nilizipata in the last three days, na jana nikathibitisha kuwa Mkono alikutana na marehemu siku za karibuni ambapo alimkabidhi dataz nyingi kuhusiana na BOT.

Kwa maoni yangu ni kwamba, ninaamini kuwa Marehemu alikuwa poisoned na kukimbilia US, waliom-poison walikuwa wanajua how long ile sumu itachukua kummaliza, marehemu alikwenda na kukaa hospitali kwa muda wa angalau miezi miwili akaamini na hata madakatari wake wakaamini kuwa amepona, lakini ile sumu ilikuwa bado inaendelea kumla, someone was out there kuhakikisha kuwa katika kipindi anachosubiri ile sumu immalize haongei na wala hatoi habari yoyote nje kwa kulikisha habari kuwa wapo wanamtafuta, ninaamini kuwa ni mkulu mmoja ndiye aliyepewa jukumu la kuhakikisha kuwa anauliwa na ningeweza ningeiomba serikali inipe nafasi ya kukutana na ninayemuhisi ili nimuulize uso kwa uso kuhusu hiki kifo ninaamini 100% kuwa ni yeye ndiye anayehusika na hiki kifo,

Haya ndiyo maoni yangu kuhusiana na hii ishu na ninasimamia nyuma ya haya maneno 100%, kuhusiana na uchunguzi wangu kuhusu hiki kifo, lakini simzuii yoyote anyetaka kuamini tofauti, isipokuwa tu tuwe watu wazima, huu mjadala ni mzito na unawapa watu wengi sana hapa elimu kwa hiyo ni vyema kujaribu kuwaelimisha wengine, badala ya kuwa wabinafsi, na sina tatizo na maoni ya wengine pia on this ishu!

Ahsanteni Wakuu, na Mungu Amuweke Marehemu Mahali Pema, na Aibariki Tanzania Yetu!
 
Unaona ni kiasi gani serikali inavyo wabeba hao jamaa......

Hapo habebwi mtu bali ni serikali yenyewe inajibeba. ukitaka kujiuliza kwamba "msiba" wa balali na ule wa Mwalimu upi mkubwa,mbona kwa mwalimu tulikuwa hatuulizwi kama sisi ni ndugu na chifu Burito?

Na kwa kuwa kujibeba ni jambo lisilo la kawaida kwani ni lazima kitu kibebwe kwani hakuna kitu kinachoweza kujibeba, basi lazima tujue kwamba hapa serikali inajaribu kufanya mazingaombwe, Aaaria toaa! Serikali imekuta watanzania wamegoma kusema, Toaaa! Mazingaombe yameshindikana.
 
Mimi naamini marehemu alitaka kuongea ila hakupata nafasi ya kuongea walimbana kiasi kwamba hakuweza kuongea na sisi wananchi tukaaminishwa kuwa balali hataki kuongea, wakahakikisha amekufa na siri yake moyoni wakati wakijitahidi kuakikisha kuwa wananchi tuamini kuwa balali amekufa bila kusema kwahiyo mzigo wote utaishia kwake, in real sense huyu mtu hawezi kukaa kimya bila kusema wakati hela hakuiba peke yake.
 
tatizo langu kwa nini watu fulani fulani wanatulazimisha kwamba Balali amekufa na hawataki wengine tuseme kwamba hakufa? Pili hivi serikali inasema nini kuhusu wale mashushushu waliosema kwamba wamewatuma kwenda kumtafuta jamaa Marekani, wamerudi ama wako hukohuko,wao hawajapewa mwaliko wa kwenda kumchoma Balali?
 
Marehemu alikuwa na Green Card, serikali ya US ilimnyanga'anya viza ya u-Governor aliyokuwa amepewa kama ofisa wa serikali yetu kuweza kuingia na kutoka US, lakini otherwise hata serikali yetu haikujua kuwa marehemu alikuwa na green card, ndio kikawa chanzo cha kujichanganya kwa serikali yetu na exactly what serikali ya US ilikifanya,

Serikali ya US isingeweza kumrudisha marehemu bongo, unless kama tunayo mahusiano ya namna hiyo kisheria, halafu pia serikali yetu haikuwahi kutamka wazi kuwa marehemu alikuwa mtuhumiwa anayetafutwa kisheria,

according to the dataz ni kwamba mjane yuko na hasira sana na serikali yetu ambayo anaijua vizuri sana kuhusu ukweli wa ishu nzima, sasa tusubiri mazishi yaishe, ninajua kuna mengi yanakuja, ambayo ni mazuri kwa taifa letu!
 
Nasikitika kwamba kama pesa zetu ndiyo zinasababisha watu wabadili sura na kudaiwa kufa ni jambo la kutia aibu sana. Pia hao ndugu waliokusanyika au kukusanywa hapa kwake Boko wako kama sisi tuu hawana walijualo. huyo anna Muganda ana chuki gani na serikali hata asitake kusikia chochote kutoka kwao?
 
according to the dataz ni kwamba mjane yuko na hasira sana na serikali yetu ambayo anaijua vizuri sana kuhusu ukweli wa ishu nzima, sasa tusubiri mazishi yaishe, ninajua kuna mengi yanakuja, ambayo ni mazuri kwa taifa letu!

kama ni kweli!
 
Marehemu alikuwa na Green Card, serikali ya US ilimnyanga'anya viza ya u-Governor aliyokuwa amepewa kama ofisa wa serikali yetu kuweza kuingia na kutoka US, lakini otherwise hata serikali yetu haikujua kuwa marehemu alikuwa na green card, ndio kikawa chanzo cha kujichanganya kwa serikali yetu na exactly what serikali ya US ilikifanya,

Serikali ya US isingeweza kumrudisha marehemu bongo, unless kama tunayo mahusiano ya namna hiyo kisheria, halafu pia serikali yetu haikuwahi kutamka wazi kuwa marehemu alikuwa mtuhumiwa anayetafutwa kisheria,

according to the dataz ni kwamba mjane yuko na hasira sana na serikali yetu ambayo anaijua vizuri sana kuhusu ukweli wa ishu nzima, sasa tusubiri mazishi yaishe, ninajua kuna mengi yanakuja, ambayo ni mazuri kwa taifa letu!

FMES Marekani inayo extradition treaty na Tanzania.

Angalia list ya nchi zilizo na extradition treaties na USA pamoja na details zake kwenye hii PDF document hapa chini.

Kwa hiyo extradition treaty siyo issue, Wamarekani wali offer kumrudisha Balali, wasingeweza ku offer bila ya legal framework ya ku support the effort.Tatizo serikali yetu haikutaka arudishwe.

[media]http://www.uncjin.org/Laws/extradit/usa.pdf[/media]
 
tatizo ni kwamba tukijifanya kila mtu anajua, nadhani hapa tutapotoshana kuliko !

What do we NEED (TUNACHOHITAJI KUJUA) to know:
(a) is he really dead ?
(b) proove that he is dead

JE MAJIBU TUNAYO ?
(a) ndio tunafahamu amefariki
(b) ndio tuna uhakika amefariki (media said it, familia yake, funeral home info *mnaotaka pigeni huko simu mjue zaidi,BOT)

WHAT WE DONT HAVE TO KNOW (LAKINI TUNANG'ANG'ANIA KUJUA)
(a)cause of death (that stays up to the family) - they dont have to make it public info, health issues remain private hata kama kiongozi UNLESS you are willing to release them.
(b)conspiracies - yaani hapa ndio kuna shombo za kila aina !

AS LONG AS TUNAJUA BALLALI IS DEAD, AND WE HAVE PROOVEN THAT, THEN ALL THAT WHAT WILL BE SAID ZITAKUWA NI BLAH BLAH NA TOO MUCH KNOW ZA WATU WANAOJIFANYA WANAMJUA ! (mbona hamkusikika wakati ballali anatafutwa ?leo kafa ndio mnaibuka?) come on folks !

I SIMPLY REST MY CASE ! NOW LET ME WATCH SOME BLAH BLAH and TOO MUCH KNOWS FLOWING !

MUNGU ANAKUONA, NAMUOMBA AKUSAMEHE, " EH BABA MOLA WANGU MSAMEHE HUYU KADA MPINZINI HALIJUI ANALOTENDA"

THIS UTTERLY COMES FROM THE BOTTOM OF MY HEART.
 
Marehemu alikuwa na Green Card, serikali ya US ilimnyanga'anya viza ya u-Governor aliyokuwa amepewa kama ofisa wa serikali yetu kuweza kuingia na kutoka US, lakini otherwise hata serikali yetu haikujua kuwa marehemu alikuwa na green card, ndio kikawa chanzo cha kujichanganya kwa serikali yetu na exactly what serikali ya US ilikifanya,

Serikali ya US isingeweza kumrudisha marehemu bongo, unless kama tunayo mahusiano ya namna hiyo kisheria, halafu pia serikali yetu haikuwahi kutamka wazi kuwa marehemu alikuwa mtuhumiwa anayetafutwa kisheria,

according to the dataz ni kwamba mjane yuko na hasira sana na serikali yetu ambayo anaijua vizuri sana kuhusu ukweli wa ishu nzima, sasa tusubiri mazishi yaishe, ninajua kuna mengi yanakuja, ambayo ni mazuri kwa taifa letu!

FMES,

Pia fuatilia vizuri sheria za USA zinasemaje kuhusu green card.

Nijuavyo mimi na ndio case kwa hapa Europe ikiwemo UK, ukiwa na green card (ILR kwa UK) na ukapata kazi ya kudumu kwenye nchi yako, unapoteza haki ya kuwa na hiyo green card.

Kama umepata kazi nchi nyingine yoyote basi unaendelea kuwa na haki nayo ilimradi uwe unarudi hapa at least mara moja kwa miaka miwili.

Walalahoi kama sisi tunaweza kupata kazi TZ na kujificha wala serikali hapa haiwezi kushutuka. Kwa gavana wa nchi sio hivyo. Kwahiyo kisheria nisingetegemea Balali awe bado ana green card ya USA. Kama ni raia hiyo ni kitu kingine.

Ila tu kwasababu yeye aliwahi kuwa na green card na pia bado ana nyumba na mke ambaye naye huenda ana green card, ni rahisi sana kumrudishia green card yake hiyo kama aliwaambia sasa kamaliza majukumu yake kule na anarudi kimoja na akaonyesha ana pesa za kutosha kuishi USA bila kukinga mikono.

Nilichoandika kinahusu sana Europe na hasa UK. Ila hizi sheria mara nyingi huwa zinakaribiana sana.

Suala la Ballali lina utata toka kila angle.
 
Ofisa Uhusiano wa Ubalozi huo, Bw. Jeffery Salaiz, akizungumza na Nipashe kwa njia ya simu alisema kinachongojewa ni taarifa ya uchunguzi kuhusu ufisadi ndani ya BoT licha ya Balali aliyehusihusishwa na kashfa hiyo kufariki dunia.

Alisema Ubalozi hauna taarifa kuhusu mtuhumiwa huyo marehemu kwa kuwa haukuwahi kuombwa na serikali kusaidia kupata taarifa zake au kufuatilia mwenendo wake huko Marekani.

``Sijui alikokuwa anaishi, sifahamu alikuwa amelazwa hospitali gani kwa vile hatujaombwa kusaidia kumtafuta Balali,`` alisema.

Kuhusu maelezo ya kuwa na uraia wa mataifa mawili ya Tanzania na Marekani na kama nchi hiyo ina taarifa za marehemu huyo kuwekeza vitega uchumi vikubwa nchini humo, Bw. Salaiz, alisema mengi yamesemwa kuhusu Balali lakini nchi hiyo ilimfutia haki ya kuwa raia wa Marekani mwanzoni mwa mwaka huu na asingependa kuzungumzia masuala ya uwekezaji.

According to the dataz, ni kwamba hawa watu wa ubalozi, wamekuwa wakiwalilia familia ya marehemu ili nao waweze kuhudhuria mazishi kesho, lakini nasikia familia wamewakea ngumu mpaka dakika hii, sasa hapa wanasema nini? Ni bora wanyamaze tu!

Na wasiruhusiwe kwenda huko kwenye mazishi kabisaa!

Field Marshall ES,

Umenielewa sasa? Nitairahisisha.

Rufiji aliweka quotation (hiyo ya kwanza hapa) kutoka Ofisa Uhusiano wa ubalozi wa Marekani, Bw. Salaiz halafu wewe ukachomekea hiyo inayohusu watu wa ubalozi kujipendekeza ili wahudhurie mazishi huko Marekani! Ndiyo maana nikauliza, hivi hawa wakina Salaiz nao wana ubalozi huko kwao hadi wajipendekeze kuhudhuria mazishi?
 
Mkuu mtanzania ile kazi ya Balali haikuwa ya kudumu, nadhani ilikuwa framed in such a way kama vile Balali amekuja kusaidia Tz kwa kipindi fulani halafu baada ya hapo arudi huko US. Kumbuka kwamba alikuwa akifanya frequent visits (na pengine kazi) US hivyo kuifanya Green card yake kuwa valid.
 
Field Marshaal ES,

Fundi,

FMES anaongelea Ubalozi a bongo Marekani. Au?
 
Mkuu mtanzania ile kazi ya Balali haikuwa ya kudumu, nadhani ilikuwa framed in such a way kama vile Balali amekuja kusaidia Tz kwa kipindi fulani halafu baada ya hapo arudi huko US. Kumbuka kwamba alikuwa akifanya frequent visits (na pengine kazi) US hivyo kuifanya Green card yake kuwa valid.

Nyambala,

Labda kwa USA, naamini kwa UK hicho kitu kisingeliwezekana. Kwa gavana wa bank kuu huwezi kusema ni kazi ya muda.

Nimeona faq hii kusu green card USA, inaelekea ni strict hata kuliko UK.

Green Card questions
I have a Green Card and plan on travelling out of the US for a long time. Can I keep my Green Card?
Maybe. The primary rule surrounding Green Cards is that you lose it if you give up your US residence. So in theory, if you, for example, show up with a moving van on the border to Canada or Mexico, there is a chance that a BCBP officer who notices this can question you and possibly revoke your Green Card right away.

The more common criterion, though, is time based. There are three important time limits to know about.

If you are absent for less than six months, you will rarely have a problem. It is BCBP's job to prove that you abandoned your residency. Absent that, you are considered to never really have left.
If you are absent for more than six months but less than a year, the burden of proof reverses. It becomes your job to prove that you are still a permanent resident. This is based on the concept that after six months, you have to be readmitted and have to prove that you are still admissible. As a side note, after an absence of more than six months, the various criteria for admissibility apply again, too. For instance, if you in the meantime had become inadmissible, say through an HIV infection, you might have a problem.
If you are absent for more than a year, your Green Card will be considered almost automatically abandoned. Once that happened, there is usually no recourse. However, if through some miracle the immigration officer didn't ask you how long you have been out of the USA when you return, then you may be in luck and able to keep your Green Card after all. You should in this case not leave the USA for a very long time, and make it your bona fide residence again.
I need to travel out of the US for more than a year. Is there nothing I can do?
You can apply for a reentry permit (on form I-131) before you leave the US. You can depart before the reentry permit is approved.

With such a reentry permit, you can return to the US even after one year until the reentry permit's expiration date. Reentry permits are issued for two years. You cannot renew a reentry permit, but you can return to the US for a short time and apply for a new one. The second such reentry permit will be granted for two years ago, but subsequent ones may only be approved for one year at a time.

I stayed out of the US and now lost my Green Card. Is there anything I can do?
There are two things that occasionally work. First, you may simply be able to reapply for a Green Card based on the same or another category. Second, you can apply for an immigrant visa as a special immigrant returning permanent resident at a US consulate. In order to get this, you have to prove that the long absence was outside your control, and that you never intended to abandon your Green Card. Unfortunately, this is usually very difficult to do.

Also, under certain very limited circumstances, you may be able to simply keep your Green Card anyway, even after absences of more than one year.

In Eshghan Khodagolian v. John Ashcroft, the Ninth Circuit of Appeals decided that in one very unusual case, Khodagolian was able to keep his GC despite an absence of more than one year, and several other long trips. The circumstances of the trips made it evident that he did not intend to abandon his US residency. Note that this is a very unusual circumstance and will rarely work! Even though this particular person won the case, he only won it on the second level of appeals. The inspector at the airport, as well as an immigration judge and the Board of Immigration Appeals (BIA) had all decided against him.

Finally, if you are lucky and are just not asked about the length of your absence, then you can enter the US with your GC regardless of how long you have been out of the country - but of course, you then need to remain in the US and establish a residence here. Otherwise, the next trip will carry the same risk. Relying on such luck, of course, is not a very reliable strategy!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom