The answer on the highlight is BOTH.
Sasa Rev. Hizo pesa zinazorudishwa na hayo makampuni si walipewa na Ballali?
Sasa waliopokea pesa za wizi kutoka kwa mwizi ndio wenye makosa halafu mwizi siyo shaidi wala mtuhumiwa?
Logic pls
njozi ziko za aina nyingi, na watu wanaoota wanaweza kuota mambo mengi tu; lakini huwezi kumkataza mtu kuota ati kwa vile ndoto yake inatisha.
The last option itakuwa ni kufile petition ama kuzungumza na Congressman atakayeweza kusikiliza kilio chetu ili tupewe taarifa kamili yenye uchunguzi huru tofauti na huu wa sasa ambao hatuna imani nao tena!
Hapa ni nchi mbili sasa zinahusika kwasababu si aliamua kuzikiwa huku?
Ngoma bado sana ndugu zangu!
No easy surrender!
Hakuna hata wanaosikiliza kilio cha Slaa cha uchunguzi huru wa chombo cha kimataifa kama FBI?
Mkuu Rev.
Bao limetinga kisawa sawa. Ngoja niende kutafuta angalau moja tu
. 2.Lakini kubwa zaidi kwa desturi na mila zetu nilitegemea kuona ndugu kama Kaka au mdogo wa kiume wa Daudi Ballali akiwa ndiyo msemaji mkuu lakini inaonyesha nguvu kubwa anayo mama!
Mjane ni kweli anayo nguvu kubwa kwa sababu hii ni ndoa iliyofanyika majuu, na unajua majuu ni kina mama ndio wanaokuwa -favored na sheria, na besides ndoa za majuu ni mke na mume tu, ndugu baadaye sana, ndio maana unaona kuwa mama anaonekana kuwa na nguvu sana ni sheria mkuu za huko majuu.
Hiyo argument ina matundu. Nguvu ya Mjane kufanya maamuzi ya misiba/mazishi ni mambo ya Kifamilia, sio 'sheria za majuu'. Hata Tanzania kwenye mfumo dume Serikali haiwezi kushurutisha mjane akazike mfu wake pale Serikali inapotaka. Hakuna sheria kama hizo hata Bongo. Uchambuzi wako wa tofauti za sheria za ndoa hapa hauhusiki. Umekosea!
Na hata tunge assume kwamba uko sahihi, kwamba ni "Sheria za Majuu" zinampendelea Mwanamke, kina Ballali wangebanwa na Sheria ya nchi walipooana, kama ulivyo sema. Lakini kina Ballali hawakuoana Marekani, ila Europe. Sheria za Ufaransa hazifanyi kazi Marekani. Unanielewa?
Kazi kweli kweli,
Hivi Mushi unafikiria FBI wataingia uchunguzi wa BOT pasipo kuwepo kiungo cha kampuni ama mtu wa Marekani ambaye anahusika na wizi..
Sidhani kama FBI wanaweza kwenda chunguza kitu nje wakati swala zima halihusiani na serikali yao hata chembe, hii itakuwa kuingilia Usalama wa nchi hiyo wanayoichunguza..
Kumbuka hata mauaji ya Banazir Butto, Scotland Yard walialikwa kufanya uchunguzi na hili likuwa swala zito zaidi ya kifo cha Balali..
Sijui mkuu unachojaribu kufanya lakini binafsi naona ngoma hii ijengewe hoja nyumbani (wabunge) ikisha shika moto kama ile issue ya BAE Uingereza then hao, FBI waalikwe.
Tatizo Bunge letu halina nguvu wala ubavu huo na sintamshauri mtu mmoja kujitia kitanzi cha maji ya chupa (Spring water) huko Chimwaga!
The guy is just out of whack clueless. I mean it is so absurd it's nauseating. US wangewezaje kumpa Visa nyingine ya kikazi kama tayari ana Permanent Resident Visa?
Na Ubalozi umeulizwa wiki hii, kama wali mfutia Visa kwanini hawajamtimua, wakasema hawagongi kila mlango wanatafuta illegal aliens. Kama ana Permanent Residence kwa nini ubalozi u insinuate kwamba Mzee alikuwa illegal?
So una deal na multi-dimensional problem here.
Kwanza, jamaa issue hazielewi elewi vizuri. Mtu lazima ujue kwamba ukipewa non-immigrant Visa basi huwezi kuwa na Immigrant Visa wakati huo huo.
Pili, jamaa source zake sio impeccable. Aliteleza jana akadhihirisha source zake. Madai ni kwamba habari za kifo cha Ballali hata kijana wa UCONN basketball hajui.
. Rationale yake ni kwamba dogo lazima angeambiwa na Wazungu wa Boston. Hizi ndio source zake jamani! Yule mtoto ambae alikutana na Rais kafunika uso na baseball hat unanambia anaheshimu au anajalali lolote kuhusu Siasa za Bongo yule wa kuchukua habari kwake unatuletea JF. You kidding me?
Halafu sio mgeni kwa yule kijana mimi. The kid is just - well, a kid. Let's leave at that. Huwezi kuniletea mimi political analysis ya Bongo if the conduit of your information is a kid athlete who may actually need advice from Field Marshall himself.