...huwezi kusema habari za wagonjwa zinapatikana kwenye internet, halafu utegemee watu wakae kimya!!! halafu ukiambiwa unakua mkali, ukiachiwa..badala ya kujirekebisha unakuja na nyuzi kuwa balali kafikia Madison, WS!!! ukiambiwa unakuwa mkali, ukiachiwa unakuja na nyingine mupya......lazima haka ka-cycle kakome!!
kama kweli tunausongo na TZ basi tabia ya kuoneana aibu, kuchekeana na kulindana lazima ikome kuanzia hapa hapa JF....sio watu wana-demand stds za juu toka kwa wengine, wakati wao wenyewe hawawezi kuishi kwa mifano!!
asante.