Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Status
Not open for further replies.
Na pia tusisahahu kuwa mifano ya kesi zote zilizotolewa kwenye hiyo sehemu niliyoiposti hapo juu ni ya kutoka nchi nyingine kama vile ufaransa,Nigeria etc na wao FBI wameweka wazi kuwa ni international corruption na mifano yote inalingana kabisa na kesi yetu, NA PIA HAWAJAWEKA MIPAKA ETI KWASABABU KESI INAMUHUSISHA BALALI AMA TANZANIA!
 
Kwa sasa tayari tumeambiwa kafa. Tuamini hilo kwanza. Kwa hiyo inatakiwa watusaidie kuwa kifo chake je kimetokana na EPA au la. Au kimetokeaje?

Na je kuna taratibu gani za kuwasiliana nao?
 
The answer on the highlight is BOTH.

It does not make any sense kuwa to act on instructions from your superior makes you an accomplice or suspect!

He Ballali, acted on instructions (speculation and that is why he said he did not steal a penny).

If the scenario is that Ikulu and Hazina vauched for those company same way they (Ikulu) vauched for Meremeta and Tangold and instruct BOT to execute payments to these company as part of EPA settlement, then BOT and Ballali are free of being part of conspiracy to sabotage or steal.

The only thing you can hold BOT and late Ballali (which he had already faced by being fired) is negligence and failure to refuse to accept Ikulu orders to execute payments to these companies.

If you have read responses from those Banks which opened accounts and received these payments to these accounts, they stated that they made payments and deposits to these accounts in good faith after receiving an Okay from BOT who is the regulator of banks in Tanzania and guardians of Bank laws and principles.

Same logic applies to Ballali and BOT acting on Hazina and Ikulu Memo.

Same logic that put Lowassa as irresponsible leader on Richmond saga than a corrupt and an accomplice.

Same will be applied on Mkapa and Yona on Kiwira, no malicious intent to under bid and award the process but simple irreularities that are punishable by a slap on a hand!

Mchezo uliofanyika ni mchafu, kila kitu ni under uzembe and you can not catch anyone except to take a win win approach ya Kikwete.

We are not dealing with amateurs, we have proffesionals who have used the laws and books to validate their actions.

Ballali is gone, he can not testify or give an account or provide proof that he was acting on Ikulu memo (remember how Zakhia Meghji acted quickly on Kagoda after she was told the payment was about Usalama wa Taifa?)

That is the reality and let us enjoy the popcorn in sadness, anger and tears!
 
Sasa Rev. Hizo pesa zinazorudishwa na hayo makampuni si walipewa na Ballali?
Sasa waliopokea pesa za wizi kutoka kwa mwizi ndio wenye makosa halafu mwizi siyo shaidi wala mtuhumiwa?
Logic pls

Mushi,

Who said Ballali was Mwizi au Mtuhumiwa? Did Serikali ya Jamhuri wa Tanzania ever declare kuwa Ballali ni Mwizi, mtuhumiwa au anachunguzwa? Umesahau kuwa kurasa tatu nyuma umetutumia taarifa ya Serikali yetu kutoka kwenye gazeti na umekazia kwa maandishi makubwa tamko la Ikulu kwa Ballali si mtuhumiwa au mshitakiwa?

Logic son, use logic! Hata hao FBI unaowang'angania watafanya nini kama hakuna formal complain kutoka Serikali ya Tanzania?

Umesahau kanyaboya iliyotolewa na Mark Green ya kumvua visa ya ki-diplomasia bila kutoa hati ya kumfukuza Ballali kutoka Marekani?

What about Ubalozi wa Marekani Dar kusema hawajapokea taarifa au ombi lolote kutoka serikali ya Tanzania kumtafuta Ballali au kumkamata?

aliposema Mwema kuwa ni sawa na kutekwa nyara, sasa naanza kuammini. Tumepigwa goli la Maradona, refa kapuliza kipenga mpira uwekwe kati, chukua mahindi lipuka subiri 2010 na uombe dua Upinzani washike angalau 45 ya Bunge kama si Ikulu na bunge pamoja, ndipo tuchunguze Ikulu na Hazina zilifanya nini kuidhinisha malipo makubwa kama haya!

Jiulize kwa nini Kikwete anasema tumuache Mzee wetu Mkapa apumzike na kufaidi ustaafu!
 
Ni kweli serikali yetu ndiyo ilikataa kutoa ushirikiano..FBI wanajua kila kitu ila hawawezi kutoa habari yoyote kama hawataombwa na serikali!
Hivyo ndivyo walivyoniambia kwenye simu!
Na pia wanasema serikali inajua hivyo sisi tuwaulize ubalozi wa hapa..Na mnakumbuka ubalozi walivyonifanyia!
Nikazungushwa kila mahali!
Na mara ya mwisho baada ya kuwasumbua State Dept kwa sana wakaanza kunielekeza kwa Home land security...Sasa sijui walikuwa wana maana gani!
 
njozi ziko za aina nyingi, na watu wanaoota wanaweza kuota mambo mengi tu; lakini huwezi kumkataza mtu kuota ati kwa vile ndoto yake inatisha.

Loh! Classic!,...ngoja ni quote kwa future ref; ha ha...!

hii issue ilivyokaliwa kidedea, alipozikwa pia itabakia kuwa siri ya familia, 'wachimvi' waweza fukua kaburi kwa hali hii!.
 
The last option itakuwa ni kufile petition ama kuzungumza na Congressman atakayeweza kusikiliza kilio chetu ili tupewe taarifa kamili yenye uchunguzi huru tofauti na huu wa sasa ambao hatuna imani nao tena!
Hapa ni nchi mbili sasa zinahusika kwasababu si aliamua kuzikiwa huku?
Ngoma bado sana ndugu zangu!
No easy surrender!
Hakuna hata wanaosikiliza kilio cha Slaa cha uchunguzi huru wa chombo cha kimataifa kama FBI?
 
The last option itakuwa ni kufile petition ama kuzungumza na Congressman atakayeweza kusikiliza kilio chetu ili tupewe taarifa kamili yenye uchunguzi huru tofauti na huu wa sasa ambao hatuna imani nao tena!
Hapa ni nchi mbili sasa zinahusika kwasababu si aliamua kuzikiwa huku?
Ngoma bado sana ndugu zangu!
No easy surrender!
Hakuna hata wanaosikiliza kilio cha Slaa cha uchunguzi huru wa chombo cha kimataifa kama FBI?

Mushi,

Ikiwa Bush ameshamsifia Kikwete na serikali yake kuwa ni safi sana na good partner do you think hata kama wanajua kuna mushkil watajishughulisha bila Serikali yetu kuomba msaada?

Kama tungekuwa maadui na bado tuna harufu ya ujamaa au ukomunisti, trust me hizo $700m tungezisikia bombani, Muafaka ungekoromewa na mambo kibao.

Same with Tony Blair na Mkapa, BFF!
 
Kazi kweli kweli,
Hivi Mushi unafikiria FBI wataingia uchunguzi wa BOT pasipo kuwepo kiungo cha kampuni ama mtu wa Marekani ambaye anahusika na wizi..
Sidhani kama FBI wanaweza kwenda chunguza kitu nje wakati swala zima halihusiani na serikali yao hata chembe, hii itakuwa kuingilia Usalama wa nchi hiyo wanayoichunguza..
Kumbuka hata mauaji ya Banazir Butto, Scotland Yard walialikwa kufanya uchunguzi na hili likuwa swala zito zaidi ya kifo cha Balali..
Sijui mkuu unachojaribu kufanya lakini binafsi naona ngoma hii ijengewe hoja nyumbani (wabunge) ikisha shika moto kama ile issue ya BAE Uingereza then hao, FBI waalikwe.
Tatizo Bunge letu halina nguvu wala ubavu huo na sintamshauri mtu mmoja kujitia kitanzi cha maji ya chupa (Spring water) huko Chimwaga!
 
Mkuu swali lililoulizwa ni hili hapa:-

. 2.Lakini kubwa zaidi kwa desturi na mila zetu nilitegemea kuona ndugu kama Kaka au mdogo wa kiume wa Daudi Ballali akiwa ndiyo msemaji mkuu lakini inaonyesha nguvu kubwa anayo mama!

Jawabu langu ni hili hapa:-

Mjane ni kweli anayo nguvu kubwa kwa sababu hii ni ndoa iliyofanyika majuu, na unajua majuu ni kina mama ndio wanaokuwa -favored na sheria, na besides ndoa za majuu ni mke na mume tu, ndugu baadaye sana, ndio maana unaona kuwa mama anaonekana kuwa na nguvu sana ni sheria mkuu za huko majuu.

Maneno yako ya chooni ni haya hapa:-

Hiyo argument ina matundu. Nguvu ya Mjane kufanya maamuzi ya misiba/mazishi ni mambo ya Kifamilia, sio 'sheria za majuu'. Hata Tanzania kwenye mfumo dume Serikali haiwezi kushurutisha mjane akazike mfu wake pale Serikali inapotaka. Hakuna sheria kama hizo hata Bongo. Uchambuzi wako wa tofauti za sheria za ndoa hapa hauhusiki. Umekosea!

Na hata tunge assume kwamba uko sahihi, kwamba ni "Sheria za Majuu" zinampendelea Mwanamke, kina Ballali wangebanwa na Sheria ya nchi walipooana, kama ulivyo sema. Lakini kina Ballali hawakuoana Marekani, ila Europe. Sheria za Ufaransa hazifanyi kazi Marekani. Unanielewa?

Ninarudia nilichosema kimsingi, ni kuwa mjane ana nguvu nzito kwenye huu msiba, kwanza ni kwa sababu ndoa yake ni ya majuu kwa hiyo kisheria yeye ni favored by the law, halafu ndoa ya majuu ni mke na mume tu, kwa hiyo mume akifa as of this case, mke aliyebaki ndiye anayeshika usukani familia ya mume kisheria za majuu haipo,

ila ingekuwa ni sheria za bongo, waziri Kibona alifariki DC, lakini akazikiwa Bongo, na familia ya mume ikashika kila nguvu as far as mali zote za marehemu na maamuzi yote muhimu kuhusiana na kilio na msiba, mkuu maneno yako mengi hayahusiani na the ishu at hand, ni absolutely out of the line!
 
Kazi kweli kweli,
Hivi Mushi unafikiria FBI wataingia uchunguzi wa BOT pasipo kuwepo kiungo cha kampuni ama mtu wa Marekani ambaye anahusika na wizi..
Sidhani kama FBI wanaweza kwenda chunguza kitu nje wakati swala zima halihusiani na serikali yao hata chembe, hii itakuwa kuingilia Usalama wa nchi hiyo wanayoichunguza..
Kumbuka hata mauaji ya Banazir Butto, Scotland Yard walialikwa kufanya uchunguzi na hili likuwa swala zito zaidi ya kifo cha Balali..
Sijui mkuu unachojaribu kufanya lakini binafsi naona ngoma hii ijengewe hoja nyumbani (wabunge) ikisha shika moto kama ile issue ya BAE Uingereza then hao, FBI waalikwe.
Tatizo Bunge letu halina nguvu wala ubavu huo na sintamshauri mtu mmoja kujitia kitanzi cha maji ya chupa (Spring water) huko Chimwaga!

Nimekuelewa mkuu.
Ila kwenye Benazir kama sisi ni kweli inategemeana na makubaliano yetu!
Sasa tatizo ni kweli limekuwa serikali!
Hata hivyo mimi nilikuwa nikitumia kigezo kwamba amezikwa hapa na hatujui mambo ya msingi na ya kawaida kama vile alikuwa na status gani etc etc!
Hata homeland security tunaweza kuwauliza watupe majibu kamili ya status ya mtu aliyekuwa kibopa nchini mwetu na kuja kufia nchini mwao!
 
1.
The guy is just out of whack clueless. I mean it is so absurd it's nauseating. US wangewezaje kumpa Visa nyingine ya kikazi kama tayari ana Permanent Resident Visa?

Siadhani humu ndani kama kuna mjinga na clueless kama wewe juha mkubwa, viza ya kazi ya bongo kama ofisa wa serikali haihusiani lolote na kuwa na green card, ninajua wabongo kibao wenye passport za bongo na US, wenye green card na passport za bongo, kwenye hili labda wewe ndiye uko clueless mkuu!

2.
Na Ubalozi umeulizwa wiki hii, kama wali mfutia Visa kwanini hawajamtimua, wakasema hawagongi kila mlango wanatafuta illegal aliens. Kama ana Permanent Residence kwa nini ubalozi u insinuate kwamba Mzee alikuwa illegal?

Ubalozi wa bongo unajua nini kuhusu Balali? Serikali ya bongo unajua nini kuhusu Balali? Yaani uanzidi kumwaga pumba tu, kwenye ishu ya Balali huwezi kuiingiza serikali wala ubalozi wetu huko maana wako clueless kama wewe!
 
Petition petition!
Kama mnasubiri mshinde uchaguzi mkuu mnaota..Kwasababu serikali watakuwa radhi jeshi lichukue kuliko wapinzani!
I can bet on that..Unless kuna na makubaliano kati ya wapinzani hao na CCM kuwa uchunguzi mwingine usifanyike!Jambo ambalo nahisi kuna baadhi ya wale waliopo upinzani ambao wana mwelekeo huo ama tayari wameshakubaliana kudeal na issue hii kivingine!
Na ndio maana nilitabiri sana hapa kuhusu mgawanyiko mkubwa hapa JF!
 
1.
So una deal na multi-dimensional problem here.

Nafikiri sina haja ya kurudia ni nani mwenye matatizo makubwa kiakili hapa kati yangu na wewe, mtoa mada au mfuatiliaji nyuma wa mada, ambaye hana clue hata kama Balali amefariki au yupo!

2.
Kwanza, jamaa issue hazielewi elewi vizuri. Mtu lazima ujue kwamba ukipewa non-immigrant Visa basi huwezi kuwa na Immigrant Visa wakati huo huo.

Hapa ndio kabisa unaonyesha upumba wako, bongo leo serikalini tuna viongozi wengi tu wenye Green Card na husafiri kwenda US kwa kutumia passport za kidiplomasia na kupewa viza za maofisa wa juu wa serikali, tuna mpaka waliozaliwa huko US kwenye serikali yetu mkuu, uliza kama hujui ufahamishwe!

3.
Pili, jamaa source zake sio impeccable. Aliteleza jana akadhihirisha source zake. Madai ni kwamba habari za kifo cha Ballali hata kijana wa UCONN basketball hajui.

Hizi habari hata uibadili vipi, bado huwezi kuwa na point, kwa sababu point yangu kumtaja haihusiana kabisa na maneno yako ya choooni, nimesema na ninarudia kuwa kuna watu waliomtumia kupiga simu na kuulizia hii ishu katika sehemu ambazo wewe mlalahoi huwezi, nikakwambia kuwa the kid anasoma UCONN, muda wake mwingi wa free time hupatikana Boston kwa kimwana wake, na ni Boston ambako sasa hivi anaendesha Basketball Camp, ya watoto wadogo, ambako mtoto wa mshikaji wangu mmoja mbongo anashiriki hiyo Camp na sasa hivi tunajaribu kwa msaada wa huyu Basketballer kumsaidia huyu mtoto wa mshikaji wangu funds ili aweze kwenda Australia kwenye mashindano ya mchezo huo,

Ninarudia kuwa the star hutumika sana kugusa sehemu muhimu ambazo wewe na mimi hatuwezi kugusa, the matter of fact huweza hata kumpigia simu rais wetu, sasa sielewi kwanza what is a big deal on this, na tatizo ni nini hasa na huyu mkuu?
 
1
. Rationale yake ni kwamba dogo lazima angeambiwa na Wazungu wa Boston. Hizi ndio source zake jamani! Yule mtoto ambae alikutana na Rais kafunika uso na baseball hat unanambia anaheshimu au anajalali lolote kuhusu Siasa za Bongo yule wa kuchukua habari kwake unatuletea JF. You kidding me?

Another foolish rant! Unajariubu kusema uongo, unajaribu kukwepa ishu, ukweli ni ule ule wewe ni juha tena wa kutupa, sijawahi kusema kuwa huyu kijana ndiye source yangu hata siku moja, nilichosema ni kuwa katika kutafuta ishu ya Balali kuwepo au kufariki Boston, tumuliza sehemu nyingi sana na huyu akiwa mmojawapo, sasa sielewi kwa nini unalilia huyu kijana wakati huko Boston tumeongea na wengi sana, kama tulivyofanya huko DC na hata kupata dataz ambazo zimethibitishwa kuwa ni kweli, ndio maana ninasema kuwa wewe ni juha na pia ni mwehu unayehitaji brain surgery!

Hapa JF huwa tunaleta mpaka dataz ambazo tunzipata toka kwa wafagiaji wa sehemu nyeti za serikali, sasa unachosema kuhusu huyu kijana ni nini hasa sikuelewi mkuu! Wewe huna ukweli wa hii ishu basi nyamaza upewe dataz kama hutaki badili channel, sasa unalilia nini hapa? Nani unayemlipa hapa kukutafutia dataz mbuzi wewe!
 
1.
Halafu sio mgeni kwa yule kijana mimi. The kid is just - well, a kid. Let's leave at that. Huwezi kuniletea mimi political analysis ya Bongo if the conduit of your information is a kid athlete who may actually need advice from Field Marshall himself.

As usual, unathibitisha maneno yangu kuwa wewe ni juha wa kutupwa, tena ninashukuru sana kuwa sasa nimekuelewa unajua nilipokuwa ninaongea na wewe kwenye simu likuwa ninafikiri kuwa wewe ni mstaarabu, now haitakuja kutokea tena mkuu, wewe kumbe ni juha kuliko nilivyokuwa ninaamini,

Nimsweka reasons ni kwa nini siamini kuwa Balali, hakuwepo Boston, sasa nilitegemea kuwa utaweka ukweli kuliko wangu kuwa alikuwepo huko, lakini badala yake uanamlilia huyu kijana, I mean something is wrong mkuu na kichwa chako,

Kijana ni muslim kama wewe that is it, lakini hana anything to do na wewe, maana wewe ni mkubwa mno kwake labda unaweza kuwa babu yake, sasa utafanya nini naye mkuu? Mbona unachekesha mkuu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom