Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Status
Not open for further replies.
Unachanganya madawa hapa...
(1) Fedha ilichotwa kabla ya Mama Meghji kuingia pale Wizarani
(2) Barua ilikuwa kujibu audit querry iliyokuja baadaye.
(3) Mama Meghji alisema wazi kwamba baada ya kugundua Balali alimdanganya alicounter ile barua ya kwanza (audit ikiwa bado inaendelea)
(4) Balali hakujibu hoja ya yeye kudanganya...

So argument yako ya kusema barua ILIIDHINISHA malipo sio sahihi. Barua ILIJIBU audit querry.

Insurgent.. kichwa kitakuuma kuweza kuzungumza katika plain moja na ndugu yetu huyu. I gave up a while ago. tunaishi katika dunia mbili tofauti kabisa...
 
So argument yako ya kusema barua ILIIDHINISHA malipo sio sahihi. Barua ILIJIBU audit querry.

Now back to the ishu this is a very Strong argument! Mkuu wangu Mushi, kwenye hili huna hoja mkuu, Mama Meghji ana matatizo yake mengine, lakini sio kwenye hili hakuiba hapa,

lakini analaumiwa kwa incomptence as a State minister kwa kuandika barua ambayo anadai kuwa aliiandika akimuamini just a Gorvenor bila kutafufa facts, ambazo alizitafuta badaye baada ya kugundua kuwa ameshaharibu tayari!

Ahsante Mkuu!
 
Kwanza BARUA YA KWANZA ILIKUWA NI YA KUIDHINISHA UTOAJI WA PESA...Kuhusu hiyo ya pili ya kujibu audit querry ukisema ni kuwa alikuwa unaware we're gonna disagree...

Hapana Mkuu...Angeweza kushtukia mwenyewe kabla ya audit querry then angekuwa innocent vya kutosha!
Nachojua pesa zilikuwa ni nyingi mno na utaratibu wa utoaji haukuwa wa kawaida na hivyo madai kwamba ni incompentence ni very light argument.
Nauliza kuwa...Kwanini hakupiga simu ku confirm straight away given the fact kuwa the amount of money was too big and the procedures very unprofessional?
Nani ni Bosi wake?
Atachukua vipi word of mouth kutoka kwa mtu ambaye hayuko juu yake kimadaraka na kuidhinisha mamia ya mabilioni kwa madai tu ya incompentence?
Balali anaelezewa na serikali kuwa hakuwa mtuhumiwa...Sasa mtuhumiwa ni nani zaidi ya yule anayetuhumiwa kumdanganya Mama Meghji?

NB:Kumbuka pia kuwa definition ya corruption si lazima ionekane kuwa pesa zimeenda kwake direclty!
Mbona kama kuna watu wameshapewa chao toka kitambo?
Toka Ballali akiwa mtaani january akitetewa na kina MKJJ na wengineo kuwa eti ni huru..Wanaleta siasa zenye kutia kinyaa kwa watu wenye akili timamu!
Kwanini?
Kwanini tudharauliane kwasababu tumegundua kuwa kuna watu wana nia ya kutupotosha?
Nani asiyejua toka Ballali aje Marekani watu wamempigia kifua hadi sasa kafa kimizengwe na ni wazi kuna mtandao wa nguvu wenye kuwalinda mafisadi kihabari na kipropaganda!
MUNGU AWALAANI WALE WOTE WALIOWAGEUKA WAZALENDO!
MUNGU AWACHOME NAFSI ZAO NA GOD WILLING WAZALENDO WA KWELI WILL BE VICTORIOUS!EITHER SOME OF US DEAD OR ALIVE...ONE DAY I BELIEVE...ONE DAY..JUSTICE WILL PREVAIL!
 
Insurgent.. kichwa kitakuuma kuweza kuzungumza katika plain moja na ndugu yetu huyu. I gave up a while ago. tunaishi katika dunia mbili tofauti kabisa...

You gave up on what?
Fool me once fool me twice....
Walks like a duck..Talks like a duck...Why not a duck?
 
Unachanganya madawa hapa...
(
(3)Mama Meghji alisema wazi kwamba baada ya kugundua Balali alimdanganya alicounter ile barua ya kwanza (audit ikiwa bado inaendelea)
(4) Balali hakujibu hoja ya yeye kudanganya...

Kwa hiyo baada ya Balali kutokujibu hiyo hoja , Mama Meghji alifanya nini ? Jee alimtaarifu Mheshimiwa Rais ? Na kama alimtaarifu kwa nini Rais hakumfukuza kazi ? Na jee kama isingekuwa Mbunge Slaa tungejua hili ?
 
Wasse hii kitu ipo hivi..........

"The concept of "doctor-patient confidentiality" derives from English COMMON LAW and is codified in many states' statutes. It is based on ethics, not law, and goes at least as far back as the Roman Hippocratic Oath taken by physicians. It is different from "doctor-patient privilege," which is a legal concept. Both, however, are called upon in legal matters to establish the extent by which ethical duties of confidentiality apply to legal privilege. Legal privilege involves the right to withhold EVIDENCE from DISCOVERY and/or the right to refrain from disclosing or divulging information gained within the context of a "special relationship." Special relationships include those between doctors and patients, attorneys and clients, priests and confessors or confiders, guardians and their wards, etc.

The Oath of Hippocrates, traditionally sworn to by newly licensed physicians, includes the promise that "Whatever, in connection with my professional service, or not in connection with it, I see or hear, in the life of men, which ought not to be spoken of abroad, I will not divulge, as reckoning that all such should be kept secret." The laws of Hippocrates further provide, "Those things which are sacred, are to be imparted only to sacred persons; and it is not lawful to impart them to the profane until they have been initiated into the mysteries of the science."

Doctor-patient confidentiality stems from the special relationship created when a prospective patient seeks the advice, care, and/or treatment of a physician. It is based upon the general principle that individuals seeking medical help or advice should not be hindered or inhibited by fear that their medical concerns or conditions will be disclosed to others. Patients entrust personal knowledge of themselves to their physicians, which creates an uneven relationship in that the vulnerability is one-sided. There is generally an expectation that physicians will hold that special knowledge in confidence and use it exclusively for the benefit of the patient.

The professional duty of confidentiality covers not only what patients may reveal to doctors, but also what doctors may independently conclude or form an opinion about, based on their EXAMINATION or ASSESSMENT of patients. Confidentiality covers all medical records (including x-rays, lab-reports, etc.) as well as communications between patient and doctor, and it generally includes communications between the patient and other professional staff working with the doctor.

The duty of confidentiality continues even after patients stop seeing or being treated by their doctors. Once doctors are under a duty of confidentiality, they cannot divulge any medical information about their patients to third persons without patient consent. There are, however, exceptions to this rule.

Key Points
There is no duty of confidentiality owed unless a bona-fide doctor-patient relationship exists or existed
The scope of the duty of doctor-patient confidentiality, as well as the existence of a doctor-patient legal privilege, varies from state to state. No federal law governs doctor-patient confidentiality or privilege
Generally, what is confidential is information that is learned or gained by a doctor, during or as a result of the doctor's communications with examination of you, or medical assessment of the patient
The duty of confidentiality continues even after the patient stops seeing or being treated by the doctor"

so kupatikana kwa info's za Kennedy kwenye net ni uamuzi wa familia na sio kwamba wagonjwa wooote bila idhini yao info's zao hupatikana tu.............
 
Medical Records
"In the past, physicians could physically secure and shield personal medical records from disclosure, absent consent from their patients. Electronic data-banks changed all that (as foretold by the Supreme Court in Whalen, above). Patchy and varied state laws involving doctor-patient confidentiality left much to be desired. With the passage of the Health Insurance Portability and Accountability Act of 1996 (HIPAA) (which encouraged electronic transmission of patient data), Congress passed concurrent legislation for uniform protection of medical records and personal information. In December 2000, the Department of Health and Human Services (HHS) published its Privacy Rule (65 Fed. Reg. 82462), which became effective on April 14, 2001. The regulation covers health plans, health–care clearinghouses, and health–care providers that bill and transfer funds electronically. The regulation mandates a final compliance date of April 14, 2003 (small health plans have until April 14, 2004 to comply.) The Privacy Rule includes provisions for the following:

Ensuring patient access to medical records, ability to get copies and/or request amendments
Obtaining patient consent before releasing information. Health care providers are required to obtain consent before sharing information regarding treatment, payment, and health care operations Separate patient authorizations must be obtained for all non-routine disclosures and non-health related purposes. A history of all non-routine disclosures must be accessible to patients
Providing recourse for violations through an administrative complaint procedure

Death Certificates
Under most state laws, birth and death certificates are a matter of public record. The advent of physician-assisted suicides in less than a handful of states (e.g., Oregon) created new concerns for the scope of doctor-patient confidentiality. Some states have addressed this issue by express legislation, e.g., permitting the registration of physician-assisted deaths directly to state offices rather than to local county offices of vital statistics. Others have permitted dual-systems that incorporate specific codes for "cause of death" on public records but more thorough explanations on private state records. Many doctors simply list innocuous language, such as "cardiac-respiratory failure," on public records, and leave blank the secondary or underlying cause. Similar issues of limited disclosure often arise on birth records. In some circumstances, personal details such as PATERNITY, marital status, or information regarding a newborn's HIV status may WARRANT the filing of dual records (one requiring more disclosure than the other) for separate purposes and separate viewers, based on a "need to know" criterion."

kuhusu vyeti vya kifo...familia bado inaweza kuomba, cheti cha mfu wao kisiwekwe kwenye kwa view ya general public..............
 
Kumbe hizi habari zinaruhusiwa kuwepo kwenye internent? Lakini haziruhusiwi kule Boston au Massachusets State, au?

I mean this is fun! Never seen like this before! It is just fun!

.......familia inaweza kuomba iwe vinginevyo!!
 
Ni kweli kabisa familia inaweza kuzuia information za matibabu na kila kitu kutolewa publicly..Unless tujenge hoja itakayowalazimisha kutokuendelea kufanya hivyo.
 
It's toward the latter portion of his interview with Scott Pelley on "60 Minutes."

PELLEY: How's your health?

MCCAIN: It's excellent. It's excellent. Excellent. Thank you. And we'll be doing the-- medical records-- thing with the media sometime in the next month or two.

PELLEY:There has been some criticism that you have not released your medical records. You're saying in this interview that you're about to do that. MCCAIN: Oh, yeah, we'll do it in the next month or so, yeah.

PELLEY: Is it fair to say that, at this point in time, there's no sign of a recurrence in cancer?

MCCAIN: Oh no. No. There's none.

source ni www.politico.com

.........sasa kama huwa zinapatyikana tu kwenye net, iweje za Mccain zisipatikane mpaka wanamwomba azitoe!!???

FAST FORWARD....
kesha zitoa jana ijumaa May 23rd 08......zipo kwenye net sasa hii!! now isije mtu aka confuse ukweli wa mambo hapa!!

wakuu hatushindani, ila ni kuwekana sawa tu ktk kuelimishana..........kama mtu anashindana basi tutakuwa hatujitendei haki wenyewe na ni huu ushindani unaofanya hata serikali yetu inashindwa mambo mengi........kwani ni kukomoa upinzani na wao kushinda wakati ni sisi(wananchi) tunaoumia!! ktk ishu hii, ushindani huu unapelekea kupotoshana na kujengeana uadui hapa "kijiweni" usio na maana yeyote!.
 
Balali kama Bosi aliyekuwa ana signature yake kwenye vijisenti vyetu naye anatakiwa health care information yake ijulikane na raia wake! Tena ukizingatia ukweli kuwa serikali ndiyo ilikuwa ikiliyalipia matibabu yake...Then we are entitled to know everything!
Hii ni hoja yenye nguvu!
 
Kumbe hizi habari zinaruhusiwa kuwepo kwenye internent? Lakini haziruhusiwi kule Boston au Massachusets State, au?

I mean this is fun! Never seen like this before! It is just fun![/SIZE]

kwani balali kafia Boston? au bado ni hang over na "ushindi ni lazima."?? hivi vitu vipo trick, sio kama vile kukoroga uji( maji na unga...stir kidogo, ikichemka tayari...) lakini haipo hivyo, huwezi kulazimisha vitu complex kama medical records au vifo vya watu na privacy zao viwe virahisi namna hiyo.

kama ni juu ya ku-have fun, then enjoy...lakini facts zinabaki paleple tena zimesimama dede!!
 
kama ni juu ya ku-have fun, then enjoy...lakini facts zinabaki paleple tena zimesimama dede
!!

tupo pamoja !
 
Lazima tufike sehemu tukubali yaishe, kama wameficha information till today the lets wait for the next goverment move nina uhakika kifo cha balali doesnt mean an end for everything on EPA, we will still ask our goverment, where is our money, what steps has been taken to punish those whoi forged the documents, najua penye nia pana njia tusigombane wenyewe hapa bila sababu ya msingi na kupoteza umoja wa JF kwa kitu ambacho bado kina solution, kama wamekolimba hii ni dhambi yao juu ya mwenyezi mungu na siku hizi analipa hapa hapa ulimwenguni wewe mtendee ubaya mwenzi uone kitakachokutokea.
 
1
. Quote:- Kuhani

I mean huyu mtu kasema jana kwamba kwenye State ya Massachusetts unaweza kupata info za mgonjwa kwenye internet. Watu wanaishi Marekani hapa miaka enda rudi halafu kweli mtu anatamka kitu kama hicho unaendelea kum grant credibility? Such informational and analytical travesty? I mean you would think JF is predominantly of tech-savvy, socially conscious and informed members watakao google vitu kabla kuvibugia, hata kama you have no concept of 'patient confidentiality' norms, which are almost unbreakable everywhere in America.

2.
Quote:- Internet

Senator Kennedy, cancer diagnosis/Brain cancer, admitted at Mass. General Hospital in Boston. Out of the the hospital, his doctors are weighing Chemotherapy and Radiation Treatments. No futher annoucemment.

source: Mass. General Hospital, Boston Massachusetts State.

3.
kwani balali kafia Boston? au bado ni hang over na "ushindi ni lazima."?? hivi vitu vipo trick, sio kama vile kukoroga uji( maji na unga...stir kidogo, ikichemka tayari...) lakini haipo hivyo, huwezi kulazimisha vitu complex kama medical records au vifo vya watu na privacy zao viwe virahisi namna hiyo.

What a turn arround? Mkuu Wangu YRNM kama nilivyosema mwanzoni wewe ni ndugu yangu sina ubaya na wewe, tuendelee kuelimishana na hapa naomba niseme hivi tupo pamoja hapooooooooooooo! kwi!kwi!kwi!kwi!kwi!kwi!

Haki ya Mungu I love JF More and More!
 
Source:- Internent

According to a death certificate first obtained in the internet iconic actor Charlton Heston’s official cause of death was pneumonia.

. At the time of his passing, representatives released no details regarding the cause of death.

According to his death certificate, a public document, Heston’s immediate cause of death was pneumonia. In 2002, the actor acknowledged he suffered from Alzheimer’s.

kama ni juu ya ku-have fun, then enjoy...lakini facts zinabaki paleple tena zimesimama dede!!

familia inaweza kuomba iwe vinginevyo!!kesha zitoa jana ijumaa May 23rd 08......zipo kwenye net sasa hii!! now isije mtu aka confuse ukweli wa mambo hapa!!

wakuu hatushindani, ila ni kuwekana sawa tu ktk kuelimishana..........kama mtu anashindana basi tutakuwa hatujitendei haki wenyewe na ni huu ushindani unaofanya hata serikali yetu inashindwa mambo mengi........kwani ni kukomoa upinzani na wao kushinda wakati ni sisi(wananchi) tunaoumia!! ktk ishu hii, ushindani huu unapelekea kupotoshana na kujengeana uadui hapa "kijiweni" usio na maana yeyote!.

Quote:
. Quote:- Kuhani

I mean huyu mtu kasema jana kwamba kwenye State ya Massachusetts unaweza kupata info za mgonjwa kwenye internet. Watu wanaishi Marekani hapa miaka enda rudi halafu kweli mtu anatamka kitu kama hicho unaendelea kum grant credibility? Such informational and analytical travesty? I mean you would think JF is predominantly of tech-savvy, socially conscious and informed members watakao google vitu kabla kuvibugia, hata kama you have no concept of 'patient confidentiality' norms, which are almost unbreakable everywhere in America.

Quote:- Internet

Senator Kennedy, cancer diagnosis/Brain cancer, admitted at Mass. General Hospital in Boston. Out of the the hospital, his doctors are weighing Chemotherapy and Radiation Treatments. No futher annoucemment.

source: Mass. General Hospital, Boston Massachusetts State.

Mkuu Wangu YRNIM,

Kwanza heshima yako mkuu, ninakusikia loud and clear, na sasa I rest my case mkuu, ila heshima mbele kwa elimu yako nzito ambayo kwa maneno yako mwenyewe na Mkuu Kuhani, nia na madhumuni yake ilikuwa ni "Kuelimishana tu na sio kushindana wala kuharibiana majina au credibility" ilikuwa ni kuelimishana tu! Ninaomba tu ikiwezekana tuendele na tabia hiyo hiyo ya kuelimishana tu!

Skiu zote ninawaaminia sana wananchi wa hapa JF, kwamba kwenye hilo la nia ya madhumuni yako na ya My Brother Kuhani Mkuu, lakini kama nilivyosema ninamshukuru sana My Brother Kuhani Mkuu kwa kunisaidia sana kuwahistukia wanafiki,

otherwise ninaomba ku-retire from this topic yaani one of my best ever na pia niseme wazi kuwa sikujua kuwa kulikuwa na topic moja ambayo ilianzishwa na kufutwa bila ya mimi kujua, hiyo siku nilikuwa on the road, ghafla mtu akanipigia kunipa dataz kuhusu kifo cha Balali, nikasimama kwenye mahali na kwa haraka na kuingia hapa na kuanziasha hii topic kwa haraka sana, kwa hiyo sikupata muda wa kuangalia anything, mpaka niliporudi home jioni, ni jana tu ndio nimeambiwa kuwa kuna topic ilianzishwa inayonihusu lakini ikaondolewa haraka, hiyo sio mara ya kwanza kufanyika, mara ya mwisho ilianzishwa topic moja hapa inayosema mimi na the so called baba yangu tunaimiliki hii forum, lakini ikafutwa kabla sijaiona,

Otherwise tuendele kuelimishana, lakini this debate was fun to have kwangu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom