Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Unachanganya madawa hapa...
(1) Fedha ilichotwa kabla ya Mama Meghji kuingia pale Wizarani
(2) Barua ilikuwa kujibu audit querry iliyokuja baadaye.
(3) Mama Meghji alisema wazi kwamba baada ya kugundua Balali alimdanganya alicounter ile barua ya kwanza (audit ikiwa bado inaendelea)
(4) Balali hakujibu hoja ya yeye kudanganya...
So argument yako ya kusema barua ILIIDHINISHA malipo sio sahihi. Barua ILIJIBU audit querry.
I wish you a quick recovery...
So argument yako ya kusema barua ILIIDHINISHA malipo sio sahihi. Barua ILIJIBU audit querry.
Now back to the ishu this is a very Strong argument! Mkuu wangu Mushi, kwenye hili huna hoja mkuu, Mama Meghji ana matatizo yake mengine, lakini sio kwenye hili hakuiba hapa,
lakini analaumiwa kwa incomptence as a State minister kwa kuandika barua ambayo anadai kuwa aliiandika akimuamini just a Gorvenor bila kutafufa facts, ambazo alizitafuta badaye baada ya kugundua kuwa ameshaharibu tayari!
Ahsante Mkuu!
Insurgent.. kichwa kitakuuma kuweza kuzungumza katika plain moja na ndugu yetu huyu. I gave up a while ago. tunaishi katika dunia mbili tofauti kabisa...
Unachanganya madawa hapa...
(
(3)Mama Meghji alisema wazi kwamba baada ya kugundua Balali alimdanganya alicounter ile barua ya kwanza (audit ikiwa bado inaendelea)
(4) Balali hakujibu hoja ya yeye kudanganya...
Kumbe hizi habari zinaruhusiwa kuwepo kwenye internent? Lakini haziruhusiwi kule Boston au Massachusets State, au?
I mean this is fun! Never seen like this before! It is just fun!
YNIM.. what happens when someone dies?
It's toward the latter portion of his interview with Scott Pelley on "60 Minutes."
PELLEY: How's your health?
MCCAIN: It's excellent. It's excellent. Excellent. Thank you. And we'll be doing the-- medical records-- thing with the media sometime in the next month or two.
PELLEY:There has been some criticism that you have not released your medical records. You're saying in this interview that you're about to do that. MCCAIN: Oh, yeah, we'll do it in the next month or so, yeah.
PELLEY: Is it fair to say that, at this point in time, there's no sign of a recurrence in cancer?
MCCAIN: Oh no. No. There's none.
source ni www.politico.com
.........sasa kama huwa zinapatyikana tu kwenye net, iweje za Mccain zisipatikane mpaka wanamwomba azitoe!!???
FAST FORWARD....
kesha zitoa jana ijumaa May 23rd 08......zipo kwenye net sasa hii!! now isije mtu aka confuse ukweli wa mambo hapa!!
wakuu hatushindani, ila ni kuwekana sawa tu ktk kuelimishana..........kama mtu anashindana basi tutakuwa hatujitendei haki wenyewe na ni huu ushindani unaofanya hata serikali yetu inashindwa mambo mengi........kwani ni kukomoa upinzani na wao kushinda wakati ni sisi(wananchi) tunaoumia!! ktk ishu hii, ushindani huu unapelekea kupotoshana na kujengeana uadui hapa "kijiweni" usio na maana yeyote!.
Kumbe hizi habari zinaruhusiwa kuwepo kwenye internent? Lakini haziruhusiwi kule Boston au Massachusets State, au?
I mean this is fun! Never seen like this before! It is just fun![/SIZE]
kwani balali kafia Boston? au bado ni hang over na "ushindi ni lazima."?? hivi vitu vipo trick, sio kama vile kukoroga uji( maji na unga...stir kidogo, ikichemka tayari...) lakini haipo hivyo, huwezi kulazimisha vitu complex kama medical records au vifo vya watu na privacy zao viwe virahisi namna hiyo.
kama ni juu ya ku-have fun, then enjoy...lakini facts zinabaki paleple tena zimesimama dede!!
. Quote:- Kuhani
I mean huyu mtu kasema jana kwamba kwenye State ya Massachusetts unaweza kupata info za mgonjwa kwenye internet. Watu wanaishi Marekani hapa miaka enda rudi halafu kweli mtu anatamka kitu kama hicho unaendelea kum grant credibility? Such informational and analytical travesty? I mean you would think JF is predominantly of tech-savvy, socially conscious and informed members watakao google vitu kabla kuvibugia, hata kama you have no concept of 'patient confidentiality' norms, which are almost unbreakable everywhere in America.
Quote:- Internet
Senator Kennedy, cancer diagnosis/Brain cancer, admitted at Mass. General Hospital in Boston. Out of the the hospital, his doctors are weighing Chemotherapy and Radiation Treatments. No futher annoucemment.
source: Mass. General Hospital, Boston Massachusetts State.

Source:- Internent
According to a death certificate first obtained in the internet iconic actor Charlton Hestons official cause of death was pneumonia.
. At the time of his passing, representatives released no details regarding the cause of death.
According to his death certificate, a public document, Hestons immediate cause of death was pneumonia. In 2002, the actor acknowledged he suffered from Alzheimers.
kama ni juu ya ku-have fun, then enjoy...lakini facts zinabaki paleple tena zimesimama dede!!
familia inaweza kuomba iwe vinginevyo!!kesha zitoa jana ijumaa May 23rd 08......zipo kwenye net sasa hii!! now isije mtu aka confuse ukweli wa mambo hapa!!
wakuu hatushindani, ila ni kuwekana sawa tu ktk kuelimishana..........kama mtu anashindana basi tutakuwa hatujitendei haki wenyewe na ni huu ushindani unaofanya hata serikali yetu inashindwa mambo mengi........kwani ni kukomoa upinzani na wao kushinda wakati ni sisi(wananchi) tunaoumia!! ktk ishu hii, ushindani huu unapelekea kupotoshana na kujengeana uadui hapa "kijiweni" usio na maana yeyote!.
Quote: