Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Status
Not open for further replies.
Mkuu haya huyajui kabisaa, the kid anasoma CT, lakini huishi kwa kimwana Boston, tunaweza hata kukutajia jina na address, hatujawahi kubahatisha hata siku moja, ninarudia kuwa katika kutafuta dataz huwa tunagusa kila mahali,
Mkuu inapokuja kwenye ukweli wa ishus, bado huna dataz sasa kubali yaishe kuliko kujaribu kulazimisha ishu na the kid, ambaye kuna tunao ongea naye karibu kila siku, kuuliza dataz ni one thing na kutafunwa na wivu ni another thing, kila unapojaribu huwezi, umelilia search warrant ukaambiwa ni kweli Chenge alipekuliwa, sasa unalilia the kid lakini dataz za kifo cha Blalli huna!

Mkuu YRS, angalia ndugu yangu wewe najua ni kichwa siwezi kukuweka kundi moja na huyu mzee wa logic za chooni, ninarudia kuwa kama ni the kid naye pia hamna dataz, kifo nacho huna dataz, dawa ni kunyamaza tu bro ulishwe dataz hapa, ndio maana upo hapa 24 hours, vipi huna kazi bro?

FMES,
nilijua kuwa nitakuwa nimekuudhi, lakini nilitanguliza samahani zangu....najua tunaheshimiana na sita vuka mstari!!! hiyo kwenye rangi naweza kubisha, lakini najua nitakuudhi zaidi....pia sitataka kuongea zaidi juu ya huyo jamaa!! goodnight and goodluck.
 
[
B]...........gross distortion of facts!!!! hospital itakayo thubutu, itafungwa sio tu na serikali ila hiyo mi-law suits!! wabongo Ma-MD Boston mmmmmmmmmmmh siri yangu....lakini haijatulia!!! no offense mkuu FMES...happy memorial day weekend.[/B]

Mkuu YRS,

Sio wewe peke yako unayeishi huko kama ulivyosema, kuna wabongo wengi sana huko ambao tuna contact nao, na ni watu babu kubwa wanaoweza kupata habari yoyote ya huko, na hasa ya Balali kulazwa hospitali ya huko,

Wote walikana kuwa na tunawaminia na hizi habari za leo zinathibitisha kuwa hakuwahi kulazwa huko, mkuu wangu angalaia vizuri kwenye habari zetu utakuta mpaka ndugu wa marehemu wanakubali kuwa tuko kwenye ukweli, sasa tutayumbishwa vipi na watu wa pembeni?

Tunasimama pale pale, kuwa habari za kulazwa hospital huko Boston ni open to9 the public mkuu!
 
Duh hii issue mie nimeshagive up kuifuatilia inasemekana dada wa marehemu, Margaret na Elizabeth wiki iliyopita walikuja US kumjulia hali mgonjwa lakini walikuta ameshafariki na watamuwakilisha mama yao na the rest of the family kwenye mazishi. Hii thread inasema alikuwa mzima wa afya na amekufa ghafla....

I'm lost, somebody help please!!!!
 
Halafu kwasababu walijua Ballali bado ni mzima wakati wanaondoka bongo na maajabu ya wengi ni pale alipokufa wakati wamefika ili kwenda kumuona!
Sasa naona wakaambiwa tayari keshakufa na kahifadhiwa so wasubiri kuzika(sijui kama watauona mwili) halafu wapewe ripoti ya kuwapelekea wabongo!
Halfu hapo kwenye kuwawakilisha the rest of the family napo ni utata tu!
Kwani Ballali hana family huku?
Ama walimaanisha family ya bongo?
If thats the case walitakiwa waseme kabisa.. watawawakilisha "The rest of the family from Tanzania side"
 
[

Mkuu YRS,

Sio wewe peke yako unayeishi huko kama ulivyosema, kuna wabongo wengi sana huko ambao tuna contact nao, na ni watu babu kubwa wanaoweza kupata habari yoyote ya huko, na hasa ya Balali kulazwa hospitali ya huko,

Wote walikana kuwa na tunawaminia na hizi habari za leo zinathibitisha kuwa hakuwahi kulazwa huko, mkuu wangu angalaia vizuri kwenye habari zetu utakuta mpaka ndugu wa marehemu wanakubali kuwa tuko kwenye ukweli, sasa tutayumbishwa vipi na watu wa pembeni?

Tunasimama pale pale, kuwa habari za kulazwa hospital huko Boston ni open to9 the public mkuu!

....mkuu mie nakubali yaishe!! na nilikuwa sina mpango wa kusema chochote juu ya post yako ile, ila nikajihisi vibaya kukaa kimya!! hata hivyo yamekwisha kwani najua hatushindani.....ni facts tu!!
 
Hadi mtakapopata nafasi ya kutulia na kuanza kuuliza maswali sahihi kwani mnapoteza muda mrefu sana kuuliza wrong questions kama watu walivyopoteza muda kuuliza wrong question "where is Balali".
 
duh commercial break jamani,yameshasemwa mengi.ameshatangulia mbele ya haki.tuwe na busara na hekima,alotufanyia wa-tz kama ni kweli TUMSAHEHENI jamaa ingawa hajatuomba radhi.mie binafsi kama kweli al-marhum ametufanyia ufisadi BASI NAPENDA KUTAMKA RASMI NIMEMSAMEHE DUNIANI NA AKHERA.

Mzee ES,KADA MPINZANI,KUHANI MKUU,JMUSHI,MKJJ,INVISIBLE,MWAFRIKA WA KIKE and all JF members TUMPE MSAMAHA WETU M-TZ MWENZETU na TUMUOMBEE KWA MOLA AMSAMEHE.

Watanzania ni lazima tujifunze kuwa wakweli ! Mtu kufa aimaanishi ya kuwa ndio tusahau mabaya aliyoyafanya. Hivi ni watanzania wangapi wamekufa kutokana na vitendo wa wizi uliofanywa na huyu bwana pamoja na hao vingunge wa CCM ? Hivi mnajua ni kinamama wangapi wanakufa kila siku kutokana na kukosa huduma bora za afya (uzazi) ....

Mimi hata siku moja siwezi kumsamehe mtu ambaye hakuona umuhimu wa kuwaomba msamaha watanzania wakati alipokuwa hai . Huyu bwana alikuwa na nafasi ya kukomesha rushwa katika nchi yetu lakini aliweka interest zake na za CCM mbele ! Mimi nasema tukiwa na mentality ya huruma huruma basi maendeleo tusahau . Naomba jamani mwe mnaangalia Court TV muone majuror wanavolia baada ya kutoa death penalty ...wanalia kwa sababu wao ndio wametoa hiyo adhabu lakini wakati huo huo wanaamini ya kuwa it was the right thing to do !

Mimi ninachohuzunika ni kuwa kifo kimemkutia URAIANI.
 
tatizo ni kwamba tukijifanya kila mtu anajua, nadhani hapa tutapotoshana kuliko !

What do we NEED (TUNACHOHITAJI KUJUA) to know:
(a) is he really dead ?
(b) proove that he is dead

JE MAJIBU TUNAYO ?
(a) ndio tunafahamu amefariki
(b) ndio tuna uhakika amefariki (media said it, familia yake, funeral home info *mnaotaka pigeni huko simu mjue zaidi,BOT)

WHAT WE DONT HAVE TO KNOW (LAKINI TUNANG'ANG'ANIA KUJUA)
(a)cause of death (that stays up to the family) - they dont have to make it public info, health issues remain private hata kama kiongozi UNLESS you are willing to release them.
(b)conspiracies - yaani hapa ndio kuna shombo za kila aina !

AS LONG AS TUNAJUA BALLALI IS DEAD, AND WE HAVE PROOVEN THAT, THEN ALL THAT WHAT WILL BE SAID ZITAKUWA NI BLAH BLAH NA TOO MUCH KNOW ZA WATU WANAOJIFANYA WANAMJUA ! (mbona hamkusikika wakati ballali anatafutwa ?leo kafa ndio mnaibuka?) come on folks !

I SIMPLY REST MY CASE ! NOW LET ME WATCH SOME BLAH BLAH and TOO MUCH KNOWS FLOWING !
 
nilijua kuwa nitakuwa nimekuudhi, lakini nilitanguliza samahani zangu....najua tunaheshimiana na sita vuka mstari!!! hiyo kwenye rangi naweza kubisha, lakini najua nitakuudhi zaidi....pia sitataka kuongea zaidi juu ya huyo jamaa!! goodnight and goodluck.

Mkuu hakuna maneno weka vitu kwa sababu hapa tuko kwenye mijadala ya kuelimisha taifa, na kuelimishana nimeweka vitu na sababu kwa nini sikuamini kuwa Balali alifia Boston, sasa sioni majibu tofauti ila kejeli ambazo kwangu sio tatizo kuzijibu hata siku moja mkuu weka vitu si uanaamini kuwa ni ukweli bro!
 
Ballali alichagua upande wa serikali na asidanganye watu!
Atajidai vipi eti ana wasiwasi na serikali na kujificha huku ni serikali hiyo hiyo ikimlipia matibabu?
Na si ndio maana serikali ilijua na kusema kuwa wanafahamu alipo?
Kwani wao si ndio walipelekewa bills za matibabu?
Si wanafahamu dokta ama hospitali?
Na si inawezekana pia wakawa wanagharamia na maybe kusimamia shuguli za mazishi?
Huu usanii mwingine bana!
 
Mkuu hakuna maneno weka vitu kwa sababu hapa tuko kwenye mijadala ya kuelimisha taifa, na kuelimishana nimeweka vitu na sababu kwa nini sikuamini kuwa Balali alifia Boston, sasa sioni majibu tofauti ila kejeli ambazo kwangu sio tatizo kuzijibu hata siku moja mkuu weka vitu si uanaamini kuwa ni ukweli bro!

tit for tat kwa leo siwezi...nimezima fegi, mkuu!!
 
1PubicFlogPST_468x348.jpg
 
Ballali alichagua upande wa serikali na asidanganye watu!
Atajidai vipi eti ana wasiwasi na serikali na kujificha huku ni serikali hiyo hiyo ikimlipia matibabu?
Na si ndio maana serikali ilijua na kusema kuwa wanafahamu alipo?
Kwani wao si ndio walipelekewa bills za matibabu?
Si wanafahamu dokta ama hospitali?
Na si inawezekana pia wakawa wanagharamia na shuguli za mazishi?
Huu usanii mwingine bana!

hiyo kwoti inaanza kunifanya niamini kwamba walichosema ndugu zake ballali ni kweli ! how dare you say that ?
hatuwezi kujua ballali alikuwa what side, maana kuna wengine pia waliokuwa wakisema he was ready kuwataja hao waliohusika lakini akaanza kuwekewa biti na wakuu !
je how can we proove that he was making preparations for himself and his family (pengine aondoke tanzania na family yake something which could take longer) ili kuwataja waliohusika and the same time securing his family ?

haya mambo hatuwezi kujua jamani, na kuendeleza hizi chuki au mambo tusiyoyajua ndio maana pengine yalichangia yeye kutoa uamuzi wa kuzikwa marekani na si nchini mwake, maana we are judging even with no heart ! jamani tutajuaje nini kilichokuwa moyoni mwake ? maybe he decided to play a fool lakini moyoni alijua nini alichokuwa anafanya ! we never know. so lets not judge him !

he never said kwamba hakutaka kwenda tanzania, he never said he was not releasing any info ! too bad we dont know how much he loved his country !! smart minds dont always have to show, it might take a smart person to act a fool but do something smart !
 
Balali alishasema KUWA HARUDI HATA IWEJE!
Sasa kama kafa then hiyo ni another issue yenye kuhitaji uchunguzi kama alivyosema Slaa.
 
Halafu kuna jambo ambalo watu awajazungumzia na hili linahusu tume ya kijinga iliyo chini ya IGP Mwema na yule jamaa wa usalama hata sijui jina lake. Hii tume kama kawaida iliundwa na Vasco dagama wetu , hawa watu wanajifanya wanachunguza kuhusu wizi wa fedha za EPA cha kushangaza hawa watu hawakufanya njia yoyote ya kumtafuta suspect number one ambaye ni Balali .

NA according to kasuku wa ikulu( Rweyemamu ) anasema walikuwa hawana shida naye , mimi ninachojiuliza what are these idiots investigating ? kwa nini awakukubali offer iliyotolewa na ubalozi wa marekani kumtafuta Balali?
 
hiyo kwoti inaanza kunifanya niamini kwamba walichosema ndugu zake ballali ni kweli ! how dare you say that ?
hatuwezi kujua ballali alikuwa what side, maana kuna wengine pia waliokuwa wakisema he was ready kuwataja hao waliohusika lakini akaanza kuwekewa biti na wakuu !
je how can we proove that he was making preparations for himself and his family (pengine aondoke tanzania na family yake something which could take longer) ili kuwataja waliohusika and the same time securing his family ?

haya mambo hatuwezi kujua jamani, na kuendeleza hizi chuki au mambo tusiyoyajua ndio maana pengine yalichangia yeye kutoa uamuzi wa kuzikwa marekani na si nchini mwake, maana we are judging even with no heart ! jamani tutajuaje nini kilichokuwa moyoni mwake ? maybe he decided to play a fool lakini moyoni alijua nini alichokuwa anafanya ! we never know. so lets not judge him !

he never said kwamba hakutaka kwenda tanzania, he never said he was not releasing any info ! too bad we dont know how much he loved his country !! smart minds dont always have to show, it might take a smart person to act a fool but do something smart !

Kwanini yeye badala ya kusema ukweli alikuwa akiwaangalia ndugu zake wengine kwa huruma kwasababu ailkuwa anajua dili lote ni kuwa yeye hataweza kuendelea kuwa Ballali yule yule wanayemfahamu!
Either akiwa mzima ama mfu kwasababu anajua hawezi tena kurudi Tanzania!
Sasa utaogopa vipi kurudi Tanzania ukiwa umekufa kama kweli uko upande wa raia?

NB:Kumbuka alikuwa anajua kuwa hatakubali kurudi ama hatarudi Tanzania akiwa kama Ballali yule wanayemfahamu kwasababu ikiwa hivyo watadhani ni mzuka!
Otherwise huyu bwana kakomiti suicide
 
Kwanini yeye badala ya kusema ukweli alikuwa akiwaangalia ndugu zake wengine kwa huruma kwasababu alkuwa najua dili ni kuwa yeye hataweza kuendelea kuwa Ballali yule yule wanayemfahamu!
Either akiwa mzima ama mfu kwasababu anajua hawezi tena kurudi Tanzania!
Sasa utaogopa vipi kurudi Tanzania ukiwa umekufa kama kweli uko upande wa raia?

did you expect him to accomplish maybe what he had in mind OVERNIGHT ??
raia tayari washapakwa mafuta ya kondoo (mentality kwamba flani akitajwa fisadi basi HE IS THAT WAY). well, am not trying to say what am saying is the real deal, but instead am asking why think too much negativity while there was some room for him to do positive things even though it could take a long time ?

Lazima tukumbuke, the worst thing that can happen to any human being is not DEATH, it is SHAME ! BALLALI had the shame with what the people of tanzania thought of him in their minds !
 
Pundit,
uzuri wa JF, mabandiko hayafutiki....watu watasoma na kuchambua bila ushabiki, saa nyingi bora kukaa kimya kuliko kuanza kupigizana kelele!! kwa mfano mie sitaki kusema nini najua kuhusu basketballer, sitaki kusema nani namjua na nani simjui Boston na vitu kama hivyo!!! kwahiyo kufanya story ndefu iwe fupi...nimekubali!!.
 
hahahaaaaaaaaaaaaa.. una matatizo !nimecheka ! anyway malizana nae mkuu and lets get on track !lol
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom