Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
PM,
Huko kufake kifo kunatokea dunia nzima. nenda kule kwenye Ballali hajafa na soma hiyo familia ya UK ambayo hata watoto waliamini baba yao kafa.
basi ikifikia hapo ni bora to seek msaada wa FBI,CIA...na vyombo vingine...maana naona hawa usalama wa taifa wetu feki...na othman bitoz wao...ni aibu kama hawakujua kama balali kafa a week ago!!!!....hadi wanafikia kutumia dola zetu kwenda kumtafuta...walitakiwa wawe na first hand information wakati wote...!!..sio kujua kutega panya tu,kufuatilia wanashindwa!!
nakubaliana na wewe kuwa kuna hata yule mzee aliyezaa na binti yake ..kwa miaka 24 ali fake kuwa amepotea ..kumbe anaishi kwenye bunkler...so tuseme balali na uzee wake ataanza kuishi kwenye handaki ..ndani ya nyumba yake!!??
tuamini tu kuwa balali kafa!!!