Hatimaye nimeachana na mchepuko wangu

Hatimaye nimeachana na mchepuko wangu

Status
Not open for further replies.
2019 tulikorofishana na mke wangu akawa ameenda kwao nikamfata akagoma
Tukatuma ndg mpk wazee akakataa hataki ndoa hii tena(wife ana gubu na me ni mkurya mkorofi so ilitupa shida sana kwenye ndoa) hapo tulikuwa na 3yrs na mtoto mmoja
Duh aliyeelewa hii yuko vizuri maana chai si chai ,chapati inageuzwa huku Mara huku😂😂😂
 
2019 tulikorofishana na mke wangu akawa ameenda kwao nikamfata akagoma
Tukatuma ndg mpk wazee akakataa hataki ndoa hii tena(wife ana gubu na me ni mkurya mkorofi so ilitupa shida sana kwenye ndoa) hapo tulikuwa na

Vipi kuhusu mkeo na mtoto wenu wanaendeleaje lakini huko mkoani,bado ile biashara inaendelea kuwatunza?

Hayo mengine uliyatafuta mwenyewe."Usimwache mke wa ujana wako"
 
2019 tulikorofishana na mke wangu akawa ameenda kwao nikamfata akagoma
Tukatuma ndg mpk wazee akakataa hataki ndoa hii tena(wife ana gubu na me ni mkurya mkorofi so ilitupa shida sana kwenye ndoa) hapo tulikuwa na 3yrs na mtoto mmoja
.
JamiiForums-2085966493.gif
 
Unanunua script kwa Erick nini?

maana naona kama umechelewa sana kuleta muendelezo...kuna wadau huko juu washaanza kudai itapoa.....wanataka ya moto moto
 
Unanunua script kwa Erick nini?maana naona kama umechelewa sana kuleta muendelezo...kuna wadau huko juu washaanza kudai itapoa.....wanataka ya moto moto

Mbona ishamizwa yote
 
Imekosa tangawizi na mdalasini. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums1906027105.gif
 
Duuh,Sherehe ilifanyika ya Nini sasa ,Demu akaomba kupangiwa wakati Sherehe ilifanyika na washakubaliana kuishi pamoja kama Mke na Mme.
Maana yake hapo ametuambia alienda kuoa kisha akarudi na mke mjini akampangia apartment na yeye akaenda kuishi kwingine.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom