Mwanaume anayefanya huo mchezo shida yake sio mwanamke tena, kwake kiumbe chochote chenye huo mfumo wa kutolea taka yeye anaingia tuu
Akili zangu mimi mwanaume wa hivi ataingia kwa mwanaume mwenzie, ataingia hata kwa mbuzi, ng'ombe, mbwa, kuku......
Na mbaya zaidi watoto atakao wazaa ajue kabisa watafanywa hivyohivyo bila kujali ni wa kike au wa kiume maana huo ni urithi na anakua ameshapandikiza roho ya ushoga kwenye uzao wake hadi kizazi cha nne
1Wakoritho 6:9 “Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala WAFIRAJI, WALA WALAWITI
Yuda 1:7 “Kama vile Sodoma na Gomora na miji iliyokuwa kando-kando, waliofuata uasherati kwa jinsi moja na hawa, wakaenda kufuata mambo ya mwili yasiyo ya asili, imewekwa kuwa dalili, wakiadhibiwa katika moto wa milele.
8 Kadhalika na hawa, katika kuota kwao, huutia mwili uchafu, hukataa kutawaliwa, na kuyatukana matukufu”.