Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

Hili ni tangazo na wateja wanatafutwa.

Michezo ya kingono ya kinamna yoyote ile hufungamanishwa na roho na roho ndio mtu halisi.

Sema unapumzika tu ila ukipata wa kuchezea tope anakula mpaka basi
Ila kiukwel POLE
 
Habarini wana JF,

Leo nimeamua kushare na nyie jambo linaloniumiza sana sana, mimi ni jinsia Ke. Nilikua na mahusiano na mwanaume niliyempenda lakini amekua akipenda mchezo huo mchafu.

Nakumbuka nilikua ninamkatalia ila sijui ni shetani ilifika siku nilimkubalia, nadhani tumefanya sasa ni takriban mwaka mmoja japo tumekua hatufanyi mara zote tunapokutana.

Kusema kweli roho inaniuma sana, najiona mkosefu mbele ya Mungu wangu, nalia kila siku asubuhi ninapoiwaza dhambi hii, cha ajabu mwenzangu alikua haoni kama ni jambo la ajabu ndio kwanza alikua ananiambia mbona watu wanafanya ndani ya ndoa na inaonekana marafiki zake wanafanya pia.

Roho inaniuma najuta hata kwanini nilikutana na huyu mwanaume, ukimuona ni mstaraabu huwezi mdhania, anajifanya na yeye ulikua sio mchezo wake ila sio kweli maana kila tukikutana faragha likua anataka kunyonya huko nyuma.

Umri wangu umeenda nipo kwenye early 30th sasa, na sababu ya kutomuacha ni sababu ya malengo tuliyokua nayo na uhitaji wa ndoa na hata watoto lakini nimekaa nimefikiria sana.

Naona kwangu amani ya moyo wangu na pia afya yangu ni muhimu pia ,acha tu umri wangu uende hata bila ndoa kuliko kuja kuharibikia.

Namshukuru Mungu amenipa kazi nzuri na nna kipato tu kizuri kiasi kwamba hata nitakapopata watoto bado nina uwezo wa kuwalea pasipo hata kuolewa.

Nimekua nikisoma thread mbalimbali watu wanasema ni ngumu kuacha huu mchezo, mimi nasema ni rahisi kuacha huu mchezo kama unajua madhara yake na una utayari,nachowaza ni kwamba itakuaje nipate mwenza mpya na aje kugundua nimeshafanya huu mchezo!!,sijajua itakuaje ila all in all nimeamua kumove on,pia sio kweli et ukifanya hayo mambo unashindwa kuzuia haja ,ni mpaka ue mzoefu wa miaka 5 ndio utapata haya madhara.

Nakusihi wewe dada unaesoma uzi huu, acha kumuendekeza huyo mwanaume anaekufanyia mchezo mchafu, hakupendi na atakuacha siku ukishaharibikiwa, ukishindwa kuzuia haja na utakapoanza kuweka pampaz, mimi namshukuru Mungu kwa kuniokoa kamwe sitakaa kufanya tena hii dhambi.
Shenzi kabisa kwa hio unachagua dhambi eti dhambi hii ni Kali hii siokali
 
Hivi wanaume ni kwanini haturidhiki na mahali tulipo pewa mpaka tuende sehemu za uchafu, na nyie wanawake hivi ukiambiwa hivo bado utaendelea kumuheshimu huyo mtu kama mume bora, pole sana dada nafsi itakusuta sana ila hilo lilikua ndani ya uwezo wako
 
Njia ya chooni huwa haina majani ipo siku mpnz wako mpya atakosea afu itaenda freeway ndipo atajua kumbe mlango wa nyuma ulishawah tumika

Kama kwenye Ile video inayoitwa
" Udom , demu wa kigogo ina dk 72
 
Hivi wanaume ni kwanini haturidhiki na mahali tulipo pewa mpaka tuende sehemu za uchafu, na nyie wanawake hivi ukiambiwa hivo bado utaendelea kumuheshimu huyo mtu kama mume bora, pole sana dada nafsi itakusuta sana ila hilo lilikua ndani ya uwezo wako
Tatizo sio wanawake. Mwanaume akishindwa kumlinda mwanamke ni matatizo. Sasa wanaume wenyewe ndio waharibifu unategemea nini mkuu ? Yaani mlinzi kaamua kuwa jambazi. Inasikitisha sana
 
Hak
Hicho kitu sio kitu kibaya kama unavyosema,ila kinakuwa kibaya kama huyo jamaa alikuwa anakulazimisha.

Wala hata usijari sjui mwanaume utakae kutana nae atakuchukuliaje,ni kwamba kama mtu amekupenda hata akigundua inabaki kuwa siri yake tu moyoni,mimi mara nyingi huwagundua ambao wameshaingiliwa ila huwa napiga kimya tu
Hakuna mwanaume wa hivo labda aolewe na shoga
 
Tatizo sio wanawake. Mwanaume akishindwa kumlinda mwanamke ni matatizo. Sasa wanaume wenyewe ndio waharibifu unategemea nini mkuu ? Yaani mlinzi kaamua kuwa jambazi. Inasikitisha sana
Dnt shift blame hapa. Semeni ukweli wanawake wamejaa tamaaa. Wanataka maisha mazuri at any cost.
 
Hili ni tatizo kubwa, wanawake haturidhiki na tulichokuwa nacho. Mtu anataka iphone huku hata hana uwezo wa kununua kitochi. Mimi pamoja na kuwa nina uwezo wa kununua iphone hata ya 3m lakini sifanyi ujinga huo maana sio kipaumbele changu
 
Back
Top Bottom