Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

Well nakupendea hapo ila unakasirisha sehumu moja tuu...hutaki kunialika nilale kwenye mjengo wako wa mil 150🤣🤣🤣🤣.
Gud morning
Hahahha, hata mchumba mwenyewe hajawahi lala hapo sembuse wewe
 
Hili ni tatizo kubwa, wanawake haturidhiki na tulichokuwa nacho. Mtu anataka iphone huku hata hana uwezo wa kununua kitochi. Mimi pamoja na kuwa nina uwezo wa kununua iphone hata ya 3m lakini sifanyi ujinga huo maana sio kipaumbele cha

Mzigo gani?
Haja kubwa
 
Dnt shift blame hapa. Semeni ukweli wanawake wamejaa tamaaa. Wanataka maisha mazuri at any cost.
Ni kweli wsnawake tamaa zinatuponza sana sababu tunapenda kujirahisisha sana....na sikuizi watoto wa kuanzia miaka 22 kushuka chini nasikia ndio wamewashika wanaume kwa mitindo hiyo wa nyuma
 
Hili ni tangazo na wateja wanatafutwa.

Michezo ya kingono ya kinamna yoyote ile hufungamanishwa na roho na roho ndio mtu halisi.

Sema unapumzika tu ila ukipata wa kuchezea tope anakula mpaka basi
Ila kiukwel POLE
sio tangazo,shida mnataka kukataa ukweli wakati ni tatizo lipo kwenye jamii yetu,shida ni kua hata waofanya haya mambo ukiambiwa wanafanya hauwezi kuamini.
 
Ni kweli wsnawake tamaa zinatuponza sana sababu tunapenda kujirahisisha sana....na sikuizi watoto wa kuanzia miaka 22 kushuka chini nasikia ndio wamewashika wanaume kwa mitindo hiyo wa nyuma
Huo ndio ukweli...wanaume tunapenda dogodogo maana ni rahisi kuwalubuni na pia sii unajua wao bado wapo fresh.
Kwa kweli bila wanawake kudhibiti tamaa zao tutaendelea kuona wimbi la wanawake kuliwa marindda
 
hivi kuna ladhaa kama mbelee??? au ndo kuchafua mashuka na nyaaa na kupeana utiyaiii suguuu mwisho upigwe bombaaa kwa sababu za kifalaa
Nawaza tu harufu sijui wanawezaje aisee kazi "kweri kweri"
 
Habarini wana JF,

Leo nimeamua kushare na nyie jambo linaloniumiza sana sana, mimi ni jinsia Ke. Nilikua na mahusiano na mwanaume niliyempenda lakini amekua akipenda mchezo huo mchafu.

Nakumbuka nilikua ninamkatalia ila sijui ni shetani ilifika siku nilimkubalia, nadhani tumefanya sasa ni takriban mwaka mmoja japo tumekua hatufanyi mara zote tunapokutana.

Kusema kweli roho inaniuma sana, najiona mkosefu mbele ya Mungu wangu, nalia kila siku asubuhi ninapoiwaza dhambi hii, cha ajabu mwenzangu alikua haoni kama ni jambo la ajabu ndio kwanza alikua ananiambia mbona watu wanafanya ndani ya ndoa na inaonekana marafiki zake wanafanya pia.

Roho inaniuma najuta hata kwanini nilikutana na huyu mwanaume, ukimuona ni mstaraabu huwezi mdhania, anajifanya na yeye ulikua sio mchezo wake ila sio kweli maana kila tukikutana faragha likua anataka kunyonya huko nyuma.

Umri wangu umeenda nipo kwenye early 30th sasa, na sababu ya kutomuacha ni sababu ya malengo tuliyokua nayo na uhitaji wa ndoa na hata watoto lakini nimekaa nimefikiria sana.

Naona kwangu amani ya moyo wangu na pia afya yangu ni muhimu pia ,acha tu umri wangu uende hata bila ndoa kuliko kuja kuharibikia.

Namshukuru Mungu amenipa kazi nzuri na nna kipato tu kizuri kiasi kwamba hata nitakapopata watoto bado nina uwezo wa kuwalea pasipo hata kuolewa.

Nimekua nikisoma thread mbalimbali watu wanasema ni ngumu kuacha huu mchezo, mimi nasema ni rahisi kuacha huu mchezo kama unajua madhara yake na una utayari,nachowaza ni kwamba itakuaje nipate mwenza mpya na aje kugundua nimeshafanya huu mchezo!!,sijajua itakuaje ila all in all nimeamua kumove on,pia sio kweli et ukifanya hayo mambo unashindwa kuzuia haja ,ni mpaka ue mzoefu wa miaka 5 ndio utapata haya madhara.

Nakusihi wewe dada unaesoma uzi huu, acha kumuendekeza huyo mwanaume anaekufanyia mchezo mchafu, hakupendi na atakuacha siku ukishaharibikiwa, ukishindwa kuzuia haja na utakapoanza kuweka pampaz, mimi namshukuru Mungu kwa kuniokoa kamwe sitakaa kufanya tena hii dhambi.
Ili kuepusha haya kwenye jamii basi elimu ya mahusiano inahitajika
 
Team upinde kutoka Ukraine wakifanya promo ya tu_zi
Nalog off Z
 
Yaani unatoa tigo kisa tu una malengo nae?
Hayaa.......hayo malengo yameyeyukia wapi?
 
Back
Top Bottom