Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

She's got a Hole already. Ib the name of religion just shut up and stop hypocriticalizing.
well nimeshauriwa with passage of time the hole will close kwa sababu bado ni dogo sana na kuna dawa nimeelekezwa ya kutumia natumai itakua msaada kwangu.
 
well nimeshauriwa with passage of time the hole will close kwa sababu bado ni dogo sana na kuna dawa nimeelekezwa ya kutumia natumai itakua msaada kwangu.
mkundu hauwashwi kwa mrundikano wa shahawa kuchanganyika na kinyesiiiiii kwa muda wa mwaka mzimaaaa.. hata hivyo umechelewa hamna vya tundu dogo au tundu kubwa
 
Ewe Binti Mwanaume wako Mshenzi akikwambia anataka akufanye nyuma mwambie umuanze yeye kwa kumsokomeza msukumio wa chapati au mtwangio wa kisamvu huko nyuma kwake, mwambie raha atakayosikia yeye basi na wewe utamruhusu.

Acheni kufanya vitu kwa kuwaridhisha hao wajinga, ukiharibika anakuacha na kwenda kwa mwengine.
 
Mimi kuna mjinga niliachana naye sababu nilikuja kuhisi kama anamtembezea mtu tope. Tena alikuwa mume wangu wa ndoa. Kila siku UTI haziishi mpaka Dr. Kaniuliza kuna mambo wewe au mume wako anafanya. Baada ya kuachana naye, UTI zikaisha loh
na bado unamuita mume wako....
 
Alikuwa , soma vizuri
kama alikuwa na alikuuomba kukufira chukua jina lake lisemee tupa chooni kwa kuwa njia itumikayo kufira siku zote kwanza ipo nyuma huwezi iangalia pia inaangalia choooni na washangaliaji huo ni minyoo ya chooni.
Mbona mbele ni kutamu sana kwa nini muingie chooni
 
Hongera sana.Umefanya maamuzi sahihi na kwa wakati sahihi. Kwa vile umeamua kuacha kwa hiari yako nina amini hutojaribu tena.

Ukipata muda mshirikishe Mungu wako na kujutia dhambi hiyo naamini baada ya hapo utapata nguvu ya kusonga mbele na kuacha kuendelea kujutia.

Mwanamke Songa mbele hakuna mwanaume atakayeoa mwanamke anayevaa pampas kuzuia kinyesi kutokana na madhara ya kuingiliwa kinyume na maumbile huo ndio ukweli.
 
mkundu hauwashwi kwa mrundikano wa shahawa kuchanganyika na kinyesiiiiii kwa muda wa mwaka mzimaaaa.. hata hivyo umechelewa hamna vya tundu dogo au tundu kubwa
kama vile unatamani kusikia nina mtundu mkubwa ili roho yako ifurahi,binadamu hua siku zote hatutakiani mema ,wewe umejuaje kama hakuna tundu dogo na kubwa !!!,unazani mtu aliefanya huo mchezo kwa miaka mingi tena kwa size tofauti tutakua sawa uko sehemu!!
 
Back
Top Bottom