Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

Aiseee kwanini ukubali at first place? Ulikua unabembeleza ndoa au? Halafu hii kitu ni kama wanaume wasiojielewa wanaigana igna huko yani tuu ilimradi na yy ajaribu. Wanawake nao sijui ni upoyoyo sijui wengine ni kutaka kupendwa eti asiachike unampa tako kweli???
 
Nakuunga mkono kabisa mkuu.
 
Amen👍
 
Mkuu unamgunduaje demu anayetoa jicho. Mimi mwenyewe sijui mkuu.
 
Mwaka mzima? alafu unasema ? mimi ni nani nikuhukumu kama umeacha umechagua fungu jema.
 
Nakuunga mkono yani ni vile wanataka kujaribu kila kitu ili wajione na wao ni mwamba. I hope wengi wanaotaka hivyo vitu ni wanaume kama wanawwzq kulawiti mpk watt wakiume wadogo wa miaka hata 2 utasemaje mwanamke hajawahi halafu anataka wakati yy mwanaume kashawafanyia mpk watt atashindwa kumshawishi mwanamke kweli. Sasa hapo ndo akili ya mwanamke ajue sio mpk afanye hayo ndo eti amridhishe mwanaume ni bora uache utapata mwingine mwenye kukupenda na mwenye hofu ya Mungu.
 
Aya Lovelovie nimekuelewa mpenzi wangu. Barikiwa
 
Wanaume ni kichocheo kikubwa kuharibu mabinti na watoto wa kiume......mim mwenyewe nimeshuhudia mtoto alolawitiwa Tuombe sana Mungu wanaume wanaofanya vitendo hivyo adhabu Yao inatakiwa iwe Kali wengine wapate kujifunza
 
Wanaume ni kichocheo kikubwa kuharibu mabinti na watoto wa kiume......mim mwenyewe nimeshuhudia mtoto alolawitiwa Tuombe sana Mungu wanaume wanaofanya vitendo hivyo adhabu Yao inatakiwa iwe Kali wengine wapate kujifunza
Kabisa inasikitisha sana
 
Wanaume kumbukeni mna mabinti mna watoto wa kiume pia. Laana husambaa leo ukimfanyia mkeo au mdada mwingine kwa kufosi na kuona ni sawa jaribu kuwaza mtt wako au binti yako na yy aolewe na mwanaume kama baba yake awe anamwingilia kinyume au mtoto wa kiume afanyiwe na baba mwingine ambae humu anaona hiko kitendo ni sawa tuu mtajisikiaje? Kwanini ujaribu kila kitu?

Sidhani kama usipojaribu au kufanya baadhi ya mambo itaondoa uanaume wako bali itakupa hata kibali mbele za Mungu uiombeapo familia yako dhidi ya haya madhila ya dunia hii Mungu akakusikiliza na kuponya kizazi chako.
 
Vipi wale wanaume wanaodeal na wadada na wamama watu wazima wanaotoa tigo?
Ww unasali ni dini gani ni kabila gani?!

Ujawai kufundishwa kanisani mapenzi kinyume na maumbile ni dhambi......hujawai kufundishwa na mama nyumbani kua kufanya mapenzi kinyume na maumbile Kuna madhara gani........ Hao wanawake watu wazima walijifunza wapi hivo vitendo waliona wapi watu wakifanyiwa hivo vitendo.....Hizo tabia zilitokana na nin Nani kichocheo kikubwa cha kuwaingiza wanawake, mabinti, vijana na watoto kweny hili dhoruba......

Wanaume waowafanyia watu vitendo hivyo watajisikia vipi wakifanyiwa, watajisikia vipi Wazazi wao wakilawitiwa, watajisikia vipi watoto wao wakilawitiwa. Kitu ambacho utaki ufanyiwe usithubutu kumfanyia mwenzio
 
Watu wanakulana hadi nyuma, imekuwa fashion sasa, huku field yanaonekana mengi tu. Mimi nakumbuka statement ya jamaa yangu, "naomba laki nilipe kodi halafu nitakupa nyuma". Mwanamke akifikia hapo kwisha habari yake.
 
Wengine walishaharibiwa huko wakija wanaweka mitego tu, tuombeane sana coz dunia imefikia mahali pa ajabu sana. Styles za ngono zinahamasisha watu kuingiliana kinyume na maumbile, imagine hizo doggy mnafanyana unamuona mwenzako matobo yote, its unfair kwa wanawake lakini tuombe Mungu maisha yetu yabadilishwe kwa kweli. Dhambi kubwa sana kuharibu watoto wa wenzetu.
 
Ni ngumu sana mwanamke ambaye amezoea mchezo wa kuliwa tigo uumkolee kuuacha ni ngumu

Na mwanaume akishaonja utamu wa jicho la tatu ngumu kuacha kula kisamvu cha kopo.

Sijui nini kifanyike kwa kweli
 
Watu wanakulana hadi nyuma, imekuwa fashion sasa, huku field yanaonekana mengi tu. Mimi nakumbuka statement ya jamaa yangu, "naomba laki nilipe kodi halafu nitakupa nyuma". Mwanamke akifikia hapo kwisha habari yake.
Hizo bahati wenzetu mnazipataje?
 
Kwa hiyo nyinyi mna style moja tu kifo cha mende?

Sex ni ubunifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…