Ww unasali ni dini gani ni kabila gani?!
Ujawai kufundishwa kanisani mapenzi kinyume na maumbile ni dhambi......hujawai kufundishwa na mama nyumbani kua kufanya mapenzi kinyume na maumbile Kuna madhara gani........ Hao wanawake watu wazima walijifunza wapi hivo vitendo waliona wapi watu wakifanyiwa hivo vitendo.....Hizo tabia zilitokana na nin Nani kichocheo kikubwa cha kuwaingiza wanawake, mabinti, vijana na watoto kweny hili dhoruba...... Wanaume waowafanyia watu vitendo hivyo watajisikia vipi wakifanyiwa, watajisikia vipi Wazazi wao wakilawitiwa, watajisikia vipi watoto wao wakilawitiwa. Kitu ambacho utaki ufanyiwe usithubutu kumfanyia mwenzio