Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

Aya maisha ni mzunguko tu....waga nawaonea sana huruma wanaume, wanawake wanaofanya vitendo hivi.

..hawa ndio wanaofanya leo hii laana iangukie kwa watoto matokeo yake watoto wengi wa leo wanazaliwa ma gay, lesbian

Kawasababu shahawa zinaenda kwenye kinyesi theni zinaenda tena mbele tutegemee nini basi kama sio kuzaa watoto wasio na utimilifu wa homoni .....halafu badae tunaanza kulalamika.....
 
Hapa wanaume wengi watamponda dada wawatu wakati wao ndio tabia zao hizo ......kila kitu kinawezekana kuacha ni kuamua tu....pengine uyo dada kweli kaamua kuacha na hatorudia
 
Habarini wana JF,

Leo nimeamua kushare na nyie jambo linaloniumiza sana sana, mimi ni jinsia Ke. Nilikua na mahusiano na mwanaume niliyempenda lakini amekua akipenda mchezo huo mchafu.

Nakumbuka nilikua ninamkatalia ila sijui ni shetani ilifika siku nilimkubalia, nadhani tumefanya sasa ni takriban mwaka mmoja japo tumekua hatufanyi mara zote tunapokutana.

Kusema kweli roho inaniuma sana, najiona mkosefu mbele ya Mungu wangu, nalia kila siku asubuhi ninapoiwaza dhambi hii, cha ajabu mwenzangu alikua haoni kama ni jambo la ajabu ndio kwanza alikua ananiambia mbona watu wanafanya ndani ya ndoa na inaonekana marafiki zake wanafanya pia.

Roho inaniuma najuta hata kwanini nilikutana na huyu mwanaume, ukimuona ni mstaraabu huwezi mdhania, anajifanya na yeye ulikua sio mchezo wake ila sio kweli maana kila tukikutana faragha likua anataka kunyonya huko nyuma.

Umri wangu umeenda nipo kwenye early 30th sasa, na sababu ya kutomuacha ni sababu ya malengo tuliyokua nayo na uhitaji wa ndoa na hata watoto lakini nimekaa nimefikiria sana.

Naona kwangu amani ya moyo wangu na pia afya yangu ni muhimu pia ,acha tu umri wangu uende hata bila ndoa kuliko kuja kuharibikia.

Namshukuru Mungu amenipa kazi nzuri na nna kipato tu kizuri kiasi kwamba hata nitakapopata watoto bado nina uwezo wa kuwalea pasipo hata kuolewa.

Nimekua nikisoma thread mbalimbali watu wanasema ni ngumu kuacha huu mchezo, mimi nasema ni rahisi kuacha huu mchezo kama unajua madhara yake na una utayari,nachowaza ni kwamba itakuaje nipate mwenza mpya na aje kugundua nimeshafanya huu mchezo!!,sijajua itakuaje ila all in all nimeamua kumove on,pia sio kweli et ukifanya hayo mambo unashindwa kuzuia haja ,ni mpaka ue mzoefu wa miaka 5 ndio utapata haya madhara.

Nakusihi wewe dada unaesoma uzi huu, acha kumuendekeza huyo mwanaume anaekufanyia mchezo mchafu, hakupendi na atakuacha siku ukishaharibikiwa, ukishindwa kuzuia haja na utakapoanza kuweka pampaz, mimi namshukuru Mungu kwa kuniokoa kamwe sitakaa kufanya tena hii dhambi.
Bora kutokuolewa, bora kujilinda na kuilinda afya yako, bora kujitengeneza kiakili na kiuchumi.
Mdada ukipatana na mwanaume wa namna hyo muache wanaume wazuri na wenye akil timamu wapo wengi sana. Wengi sana ni swala la muda
 
Hapa wanaume wengi watamponda dada wawatu wakati wao ndio tabia zao hizo ......kila kitu kinawezekana kuacha ni kuamua tu....pengine uyo dada kweli kaamua kuacha na hatorudia
Bora kutokuolewa, bora kujilinda na kuilinda afya yako, bora kujitengeneza kiakili na kiuchumi.
Mdada ukipatana na mwanaume wa namna hyo muache wanaume wazuri na wenye akil timamu wapo wengi sana. Wengi sana ni swala la muda
Wadada kwa unafiki hii michezo wengi mnaicheza ila humu mnajifanya watakatifu
 
Samehe nafsi yako kabisaaaaa Mungu ni mwingi wa huruma amini kwamba ameshakusamehe kabisa na kusikia maombi yako...Mimi nakutakia kila la kheri unapoendelea na maisha yako mapyA "all the best"
 
We dont have to be judgemental jamani maswahibu yanawakuta binadamu yoyote
Hiz ni promo tu mkuu.kubal kataa watu wako kazin ku implant haya mambo kwenye akil za weng mpaka kionekane kitu cha kawaida hik
 
Back
Top Bottom