Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

Habarini wana JF,

Leo nimeamua kushare na nyie jambo linaloniumiza sana sana, mimi ni jinsia Ke. Nilikua na mahusiano na mwanaume niliyempenda lakini amekua akipenda mchezo huo mchafu.

Nakumbuka nilikua ninamkatalia ila sijui ni shetani ilifika siku nilimkubalia, nadhani tumefanya sasa ni takriban mwaka mmoja japo tumekua hatufanyi mara zote tunapokutana.

Kusema kweli roho inaniuma sana, najiona mkosefu mbele ya Mungu wangu, nalia kila siku asubuhi ninapoiwaza dhambi hii, cha ajabu mwenzangu alikua haoni kama ni jambo la ajabu ndio kwanza alikua ananiambia mbona watu wanafanya ndani ya ndoa na inaonekana marafiki zake wanafanya pia.

Roho inaniuma najuta hata kwanini nilikutana na huyu mwanaume, ukimuona ni mstaraabu huwezi mdhania, anajifanya na yeye ulikua sio mchezo wake ila sio kweli maana kila tukikutana faragha likua anataka kunyonya huko nyuma.

Umri wangu umeenda nipo kwenye early 30th sasa, na sababu ya kutomuacha ni sababu ya malengo tuliyokua nayo na uhitaji wa ndoa na hata watoto lakini nimekaa nimefikiria sana.

Naona kwangu amani ya moyo wangu na pia afya yangu ni muhimu pia ,acha tu umri wangu uende hata bila ndoa kuliko kuja kuharibikia.

Namshukuru Mungu amenipa kazi nzuri na nna kipato tu kizuri kiasi kwamba hata nitakapopata watoto bado nina uwezo wa kuwalea pasipo hata kuolewa.

Nimekua nikisoma thread mbalimbali watu wanasema ni ngumu kuacha huu mchezo, mimi nasema ni rahisi kuacha huu mchezo kama unajua madhara yake na una utayari,nachowaza ni kwamba itakuaje nipate mwenza mpya na aje kugundua nimeshafanya huu mchezo!!,sijajua itakuaje ila all in all nimeamua kumove on,pia sio kweli et ukifanya hayo mambo unashindwa kuzuia haja ,ni mpaka ue mzoefu wa miaka 5 ndio utapata haya madhara.

Nakusihi wewe dada unaesoma uzi huu, acha kumuendekeza huyo mwanaume anaekufanyia mchezo mchafu, hakupendi na atakuacha siku ukishaharibikiwa, ukishindwa kuzuia haja na utakapoanza kuweka pampaz, mimi namshukuru Mungu kwa kuniokoa kamwe sitakaa kufanya tena hii dhambi.
Nataman ningekupata iwe MKE lakin naweza je utanielewa?
 
Hujasema mitume na manabii ila unasema binti akawekewe mikono....

1. Huduma anatoa nani?
2. Huyo mtoa huduma ana utakatifu gani ambao Mungu hawezi kumpa binti?

""Binti ingia Chumbani, funga mlango na lia sanaa na Mungu wake, nae ni Mungu wa wote ATASIKIA KILIO CHAKO"".

#YNWA
Kuna watu ambao Mungu amewapa vipawa mbalimbali kwa ajili ya kulijenga kanisa, Sijajua wewe unaamini ktk Mungu yupi, Ila unaonekana hujui lolote kuhusu malezi ya mtu aliyefungwa na nguvu za giza.

Muhanga bado ni mchanga kiroho anahitaji kuombewa na mtumishi wa Mungu ili aimarike, kinyume na hapo atarudi Misri alikokimbia.
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Hizo manii na damu alizoingiziwa kwa njia ya mkundu wadhani zilitoka kwa njia ya mkojo?

Bado zimo mwilini mwake na zitaendelea kuwamo kwa kuwa alikwisha ungana na kuwa mwili mmoja (kwa kufirana) na huyo jamaa. Ila akiombewa kila chembe chembe itakaushwa

Pasipo maombezi na mafundisho kutoka kwa mtumishi aliyepevuka huyo dada atarudi ktk ulimwengu wa wafirwaji nguli na atapotea mazimaa.

Acha kujifanya mshauri wkt huna ufahamu wowote kuhusu nguvu za shetani.
Akaombewe kwani kakuambia ana mapepo mpe pongezi kwa kutoka huko.
 
Natumai pm imefulika wanaokuja kukupa muongozo[emoji1435][emoji1435]
 
Back
Top Bottom