Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Nenda kaombewa sasa kwa Utakaso
Haina haja ya kuombewa.
Mungu alisema "Tukiungama atatusamehe dhambi zotee"
Hakusema "Tukiungamishwa.."
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kaombewa sasa kwa Utakaso
Kuna nini huku
Usijali kama unataka mume wakukuwowa mie nipo hpa njoo tuyajenge tupate watoto wetu na tutasaidiana katika kuacha huo mchezo mchafu. Ata mie nilikuwa kama huyo boy wako...ya i bila kufyonza marinda nilikuwa sienjoy kabisa kugegedana.Habarini wana JF,
Leo nimeamua kushare na nyie jambo linaloniumiza sana sana, mimi ni jinsia Ke. Nilikua na mahusiano na mwanaume niliyempenda lakini amekua akipenda mchezo huo mchafu.
Nakumbuka nilikua ninamkatalia ila sijui ni shetani ilifika siku nilimkubalia, nadhani tumefanya sasa ni takriban mwaka mmoja japo tumekua hatufanyi mara zote tunapokutana.
Kusema kweli roho inaniuma sana, najiona mkosefu mbele ya Mungu wangu, nalia kila siku asubuhi ninapoiwaza dhambi hii, cha ajabu mwenzangu alikua haoni kama ni jambo la ajabu ndio kwanza alikua ananiambia mbona watu wanafanya ndani ya ndoa na inaonekana marafiki zake wanafanya pia.
Roho inaniuma najuta hata kwanini nilikutana na huyu mwanaume, ukimuona ni mstaraabu huwezi mdhania, anajifanya na yeye ulikua sio mchezo wake ila sio kweli maana kila tukikutana faragha likua anataka kunyonya huko nyuma.
Umri wangu umeenda nipo kwenye early 30th sasa, na sababu ya kutomuacha ni sababu ya malengo tuliyokua nayo na uhitaji wa ndoa na hata watoto lakini nimekaa nimefikiria sana.
Naona kwangu amani ya moyo wangu na pia afya yangu ni muhimu pia ,acha tu umri wangu uende hata bila ndoa kuliko kuja kuharibikia.
Namshukuru Mungu amenipa kazi nzuri na nna kipato tu kizuri kiasi kwamba hata nitakapopata watoto bado nina uwezo wa kuwalea pasipo hata kuolewa.
Nimekua nikisoma thread mbalimbali watu wanasema ni ngumu kuacha huu mchezo, mimi nasema ni rahisi kuacha huu mchezo kama unajua madhara yake na una utayari,nachowaza ni kwamba itakuaje nipate mwenza mpya na aje kugundua nimeshafanya huu mchezo!!,sijajua itakuaje ila all in all nimeamua kumove on,pia sio kweli et ukifanya hayo mambo unashindwa kuzuia haja ,ni mpaka ue mzoefu wa miaka 5 ndio utapata haya madhara.
Nakusihi wewe dada unaesoma uzi huu, acha kumuendekeza huyo mwanaume anaekufanyia mchezo mchafu, hakupendi na atakuacha siku ukishaharibikiwa, ukishindwa kuzuia haja na utakapoanza kuweka pampaz, mimi namshukuru Mungu kwa kuniokoa kamwe sitakaa kufanya tena hii dhambi.
Shindwa na ulegee!Haina haja ya kuombewa.
Mungu alisema "Tukiungama atatusamehe dhambi zotee"
Hakusema "Tukiungamishwa.."
#YNWA
Shindwa na ulegee!
Wewe mwenyewe ukiingia Chumbani ukajitakasa kwa kuungama na kuanza kujiombea " Mungu lazima asikie maombi yako"
Achana na manabii na mitume.
#YNWA
Hayo mambo kwenye maisha yapo unafanya jambo sio sahii Ila baadae unagundua sio sawa unaachana nalo ajabu ni nin acha unafki unataka kutuambia wewe ni mkamilifu asilimia 100 💯Kwanini ulikubali kufanya tell us the motive behind.
Nadhani ulikuwa na wewe unawish kujaribu siku moja ndio maana ulifanya .
Sijaona sehemu umesema ulishikiwa bastola na kulazimishwa kufanya.
Ukombozi wa nin nawakati anaweza akaomba mwenye msiwe mnageuza kila kitu ni fulsa ya sadakaSijaongelea mitume ama manabii, bali nimetoa wazo mhanga akaombewe kwa Utakaso zaidi, najua hata wewe huijui nguvu ya muunganiko kati ya muhanga na mtenda, huyo dada keshachafuliwa mno na bado nguvu ya muunganiko wa manii na damu vitafanya kazi baadae asipoombewa maana ni tendo linalobeba nguvu za giza pia.
Bado binti ni mchanga sana kujiombea mwenyewe hivyo anahitaji maombezi maalum ya ukombozi, endapo atakosa hiyo huduma atarudi ktk huo muunganiko wa awali na atakuwa nguli zaidi
Ukombozi wa nin nawakati anaweza akaomba mwenye msiwe mnageuza kila kitu ni fulsa ya sadaka
Hakuna kitu muhimu kama kuwa na mtaji binafsi wa maombi
Sijaongelea mitume ama manabii, bali nimetoa wazo mhanga akaombewe kwa Utakaso zaidi, najua hata wewe huijui nguvu ya muunganiko kati ya muhanga na mtenda, huyo dada keshachafuliwa mno na bado nguvu ya muunganiko wa manii na damu vitafanya kazi baadae asipoombewa maana ni tendo linalobeba nguvu za giza pia.
Bado binti ni mchanga sana kujiombea mwenyewe hivyo anahitaji maombezi maalum ya ukombozi, endapo atakosa hiyo huduma atarudi ktk huo muunganiko wa awali na atakuwa nguli zaidi