Hatimaye nimeanza kunywa pombe.

kinjekitile70

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
1,072
Reaction score
1,424
Wakuu nimeleta mrejesho wa uzi wangu niliokuwa naomba ushauri jinsi ya kuanza kunywa Ethanol, kiukweli nimegundua kuna kitu nilikuwa namiss, maana nimeuona ulimwengu ni wa tofautii sanaa kwa sasa, mana home nachelewaa kirudiii, nafanya kazii nikiwa na hang over kitu ambacho sijawahi ki experience kea kwelii
Nipende kuwashukuru wana Jf kwa mawazo yenu mazuri
mzidi kubarikiwa
Wasalaaam
 
Katibu kundini
 
kwahiyo wana JF
Ndio waliokushauri hvyo aiseeee
nawewe na serikali yao (kichwa)
mkakubaliana kabisa kuwa niushauri mtakatifu

nenda katrade forex mkuu
maana yule broker wenu anahitaji watu wenye akili NYINGI kama nyie '''
 
Hata makosa ya kiuandishi uliyofanya kwenye uzi huu ni dhahiri ulikuwa na hangover
 

Umeanza kunywa pombe au upo kwenye majaribio ya kunywa pombe?
 
Kumbe jf inapotosha pia! Unakaribisha umasikini ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…