Hatimaye nimeanza kunywa pombe.

Karibu kundini..kuna wine inaitwa namaqua..glass mbili tu unakua satisfied na unalewa vzuri sana..tofauti na hapo tumia henken au windhoek hutopata hangover asbhi wala kichwa kuuma..so ratiba yako haitawahi haribika mida ya asbhi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Karibu kundini..kuna wine inaitwa namaqua..glass mbili tu unakua satisfied na unalewa vzuri sana..tofauti na hapo tumia henken au windhoek hutopata hangover asbhi wala kichwa kuuma..so ratiba yako haitawahi haribika mida ya asbhi.
sawaa mkuu tupange appointment mkuu
 
Karibu kundini..kuna wine inaitwa namaqua..glass mbili tu unakua satisfied na unalewa vzuri sana..tofauti na hapo tumia henken au windhoek hutopata hangover asbhi wala kichwa kuuma..so ratiba yako haitawahi haribika mida ya asbhi.

Mkuu kama nakuona vile ...mate yamenijaaa mdomoni sababu ya Heineken
 
Piga GONGO, KALIINYA, WHISKY, NA NYINGINE KALI NDO ZENYE UHONDO ZAIDI, UKIFIKA HOSPITALI KUTIBIWA MAPAFU YATAKAYOKUWA YAMEOZA, UWASALIMIE UTAKAO WAKUTA HUKO WAAMBIE MIRINDA NYEUSI YA JERO TYUH, MAZIWA MGANDO YENYE ASALI NA VINYWAJI VINGINE VITAMU N VILECI CYA AINA NYINGINE.UWE NA UNYWAJI MWEMA NDG.
 
najisikia huru sana baada ya kuacha kunywa pombe, sipotezi vitu na kiukweli fedha zinatosha ukilinganisha na mwanzo.
 
sawa bishura nashkuruu sanaa kwa ushaurii wakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…