kinjekitile70
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 1,072
- 1,424
- Thread starter
-
- #61
hapnaa mzee. bado napiga mkuu sema sielewii kinachonitokeaaNilidhani unasema umeacha kunywa pombe!
nimeanza kuvimba uso mzee, sasa sielewi kama pombe inachangiaaMe na pambana namna ya kuacha wewe unajipongeza
Haya bana mkuu endelea labda umeona inalipa
..jinsia yako tafadhalisavvana
shemale..jinsia yako tafadhali
Mbona mimi tajiri na nakunywa pombe kila siku, ukija kwangu nina kaunta kabisa kila kinywaji kinapatikanaUmasikini unauita
Kwako akili nini mkuuBasi huna akili
Binadamu wapo tofauti mkuu ni heterogeneous sio homogeneous kama unavyotakaMe na pambana namna ya kuacha wewe unajipongeza
Haya bana mkuu endelea labda umeona inalipa
Naanzaje kuacha pombe wakati haijawai kuniletea madhara na maisha yanaendeleaMe na pambana namna ya kuacha wewe unajipongeza
Haya bana mkuu endelea labda umeona inalipa
Iyo ni tafsiri yako hapo hajajiaifia bali amesema ameanza kunywa pombe, acha mihemkodah humu jf kuna watu wa kila aina ya IQ ona huyu anajisifia kunywa pombe
Kwanini aache kunywa pombe?Nilidhani unasema umeacha kunywa pombe!
...kwahiyo unaliwa ndogo;shemale
mimi siyo msanii mkuuWewe ni lilevi likongwe hadi hangova unaijua usilete usanii kwenye jumba la sanaa
Hako ka style tulisha kaacha enzi za mwalim