Hatimaye nimeanza kunywa pombe.

Hatimaye nimeanza kunywa pombe.

wakuu hebu nielezenii, hivii kuvimba uso ni madhra ya pombe auu, maana jana nimekunywa nimejikuta uso umevimba
 
Nilidhani unasema umeacha kunywa pombe!
 
Wewe ni lilevi likongwe hadi hangova unaijua usilete usanii kwenye jumba la sanaa
Hako ka style tulisha kaacha enzi za mwalim
 
Back
Top Bottom