my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
- Thread starter
- #101
Asante. Mlimani ndo wapi?Haya bhaha hongera na kila la kheri
I hope ushamaliza masomo yako apo mlimani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante. Mlimani ndo wapi?Haya bhaha hongera na kila la kheri
I hope ushamaliza masomo yako apo mlimani?
😂😂😂😂😂Watu mnajua kuumbua😂
Ni kweli but ndo itakavyokuwaAlaf kuachana sio ktu cha ajabu au aibu. Ni moja ya mfumo wa maisha ya binadamu
MimiNani anasema?
Labda ndotoniMtaachana tu [emoji849][emoji849][emoji849]
Hajui na hawezi kujuaBora hivyo. Ila anajua kama ulimsaliti?
Sababu?Dada amekimbia Uzi [emoji23][emoji23]
LOL mwenywe ata hajui km kuna ktu kinaitwa jamii forumsBaby kumbe hii ndiyo ID yako?? Nimepitia post zako zote, nasikitika kusema........
#Ivue hiyo pete
Mtoto ulinizaa wewe au ulinilea?Huyu mtoto dishi limeyumba kama yule mwengine jina linaloanzia na R
😂 😂Hongera, utapunguza kushinda xvideo na xxn sasa
Hasara unaona wewe yeye anaona faidakwa mujibu wa nyuz zako za nyuma alokuchumbia kala hasara na lose juu
Beberu ndo nn?Munapenda sana kuiga mambo ya kibeberu,,,mbongo na beberu wapi na wapi! Mwisho wa siku unaishia kuosha vyombo na kudeki maisha yanaenda
Na wewe baki na shobo zako zitakusaidia baadae.Baki na kiswahili chako kuficha ujinga wako ...
Wewe ukiona kubwa wezako wanaona dogo. Kla ktu ni vle wewe unaamua kukichukuliaMabinti wa chuo munatabu,,,,,na ndio maana ata ndoa zao hazidumu. Mnataka mambo makubwa munooooo
Zina nini?Ndoa? Zisikie tu
Haiwezi kuja kutokea. Hatukuachana vizuriKwahiyo huyu alikuwa second choice? Ipo siku mtapasha kiporo
Ikipita muda uwa hasira znaisha mkikutana mnarudiana. Sema all the bestHaiwezi kuja kutokea. Hatukuachana vizuri