Hatimaye nimefanikiwa kutoa pesa zangu zote bank ya CRDB

Hatimaye nimefanikiwa kutoa pesa zangu zote bank ya CRDB

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Hii bank imenikwaza Sana pesa zangu baadhi baada ya marekebisho zimepotea na bank statement inaishia siku yangu ya mwisho Kutoa pesa.

Sasa juzi Jana na leo nimefanikiwa kutoa pesa zangu zote.

Hii bank imekuwa ya kijinga Sana.

Bora kuweka pesa international banks.
 
Nilikuwa na laki 5 kwenye account nikaja kukuta 300 ndio ipo aloo sio powa
Aisee kama ni mimi nadhani NCHI nzima ingejua kuhusu hili

Hawa Jamaa wana benefit kutokana na Upole wa Watanzania.

Nauhakika ingekuwa ni NCHI nyingine kama Kenya wasingethubutu hivi tunavyoongea wangekuwa MAHAKAMANI kabisa.
 
Hii bank imenikwaza Sana pesa zangu baadhi baada ya marekebisho zimepotea na bank statement inaishia siku yangu ya mwisho Kutoa pesa.

Sasa juzi Jana na leo nimefanikiwa kutoa pesa zangu zote.

Hii bank imekuwa ya kijinga Sana.

Bora kuweka pesa international banks.
Umetumia njia gani kutoa?
Mimi kuna kapesa kangu nimetoa kupitia atm cardless wamekata na atm inasema hamna mtandao.
Najuta
 
Back
Top Bottom