Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Kasikia tarumbeta chap kavaa kijora 😹😹Ni mwendo wa kunata na beat 😆😆
Huyu hata mia hana huko amini ninachokwambia kiongozi..!!
Kasikia tarumbeta chap kavaa kijora 😹😹Ni mwendo wa kunata na beat 😆😆
Ndiyo kilichonikutaWahuni wameruka na 60k cardless simbanking hela inaonekana imetoka lkn ATM imenitolea macho tu sio poa.
Ndio maana nikasema utani na wewe🤣🤣Million ipi tena? Kasema aliweka laki 5 😹😹
Matajiri wa JF mnafurahisha sana..!!
NaamBora kuweka pesa international banks.
Nilianza kuandaa hati ya mashtaka nipande na nyie kortini 😹😹Ndio maana nikasema utani na wewe🤣🤣
Hahahhaha uzuri mmoja huwa nakuelewa🤣Nilianza kuandaa hati ya mashtaka nipande na nyie kortini 😹😹
Uko sawa mno mkuu nakubaliana nawewe kwa 100%Huwa mara zote naonaga njia bora ya kutunza pesa ni kuiwekeza tu
😹😹Hahahhaha uzuri mmoja huwa nakuelewa🤣
Huwa ninaona hivyo mkuuUko sawa mno mkuu nakubaliana nawewe kwa 100%
Madogo suti zimewabamba vilivyo😹😹
Fuga , Lima anzisha viwanda vidogo dogo , vimilioni kadha sio pesa ya kufuga bank bwashee 😅( utani)
Nimetania tu bwasheeBwasheeee 🙌
Huo mwendo wa mawakili wa JF tunavyopanda mahakamani 😹😹Madogo suti zimewabamba vilivyo
Ngoja na wewe upandishwe kizimbani siku moja 😅😅Huo mwendo wa mawakili wa JF tunavyopanda mahakamani 😹😹
Mi kama Lissu najitetea mwenyewe na wote nawatoa knockout 😹😹Ngoja na wewe upandishwe kizimbani siku moja 😅😅